Hali ya nchi ingekuwaje kisiasa, kiuchumi na kijamii endapo Mrema angeshinda urais 1995? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hali ya nchi ingekuwaje kisiasa, kiuchumi na kijamii endapo Mrema angeshinda urais 1995?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Humphnicky, Jul 27, 2012.

 1. Humphnicky

  Humphnicky JF-Expert Member

  #1
  Jul 27, 2012
  Joined: Dec 1, 2010
  Messages: 1,808
  Likes Received: 524
  Trophy Points: 280
  Nimekaa na kufikiria hali ingekuwaje iwapo ndugu Augustino Lyatonga Mrema angechukua nchi mwaka 1995?
  Mrema hakuwa dhaifu wala legelege na aliondoka CCM kwa ushujaa mkubwa
   
 2. MotoYaMbongo

  MotoYaMbongo JF-Expert Member

  #2
  Jul 27, 2012
  Joined: Jan 7, 2008
  Messages: 1,858
  Likes Received: 200
  Trophy Points: 160
  Alishinda ila akachakachuliwa na Magamba.
   
 3. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #3
  Jul 27, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  hata mi hua najiuliza na kipindi kile alivyofanya maajabu wizara ya mambo ya ndani... ninaamini tungekua mbali sana sema ndio hivyo ccm sio wa kuchezewa kiovyo ovyo
   
 4. samora10

  samora10 JF-Expert Member

  #4
  Jul 27, 2012
  Joined: Jul 21, 2010
  Messages: 6,636
  Likes Received: 1,425
  Trophy Points: 280
  Nadhani nchi ingekua imenyooka hii..
   
 5. Nivea

  Nivea JF-Expert Member

  #5
  Jul 27, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 7,449
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  kweli kabisaaa for the past 15 yrs ccm haijashinda uchaguzi mkuu ni kwakuchakachua tuu
   
 6. steveachi

  steveachi JF-Expert Member

  #6
  Jul 27, 2012
  Joined: Nov 7, 2011
  Messages: 4,127
  Likes Received: 1,725
  Trophy Points: 280
  nji hii kila sehemu nzuri ingekuwa imeshikiliwa na aikambe mekuu tu
   
 7. f

  filonos JF-Expert Member

  #7
  Jul 27, 2012
  Joined: Oct 13, 2011
  Messages: 651
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 45
  IKULU ingeamia MOSHI kila siku kabla ya siku 7 utangulie MOSHI na mzigo uwache pale mpaka sasa ROMBO ingekua kama .JAPAN maana kila mtu lazima aache Takrima pole
   
 8. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #8
  Jul 27, 2012
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,479
  Likes Received: 761
  Trophy Points: 280
  Aaaah na hao wanaoshinda wanafanya nini? Kwa nini wanakubali kuenda kwenye uchaguzi.
   
 9. Kijakazi

  Kijakazi JF-Expert Member

  #9
  Jul 27, 2012
  Joined: Jun 26, 2007
  Messages: 3,546
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 135
  Acha kutuzingua, Mrema hakuwa Raisi, sasa unataka tujadili kitu ambacho haikutokea? Kanuni za Fizikia hazituruhusu kurudi nyuma na kujua hali ingekuwaje, bado hatujaweza kufanya hivyo kwa sasa, hivyo swali lako halina maana!
   
 10. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #10
  Jul 27, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,469
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Angefanya mambo makubwa endapo angekuwa na timu makini na watu waadilifu.
   
 11. Mkubwa ndevu

  Mkubwa ndevu JF-Expert Member

  #11
  Jul 27, 2012
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 755
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 45
  chaga at work
   
 12. cedrickngowi

  cedrickngowi Senior Member

  #12
  Jul 27, 2012
  Joined: Jun 9, 2012
  Messages: 148
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  TISS decided he was unfit to run this country,like what they did to Dr WILBROAD.
   
 13. M

  Majasho JF-Expert Member

  #13
  Jul 27, 2012
  Joined: Aug 4, 2009
  Messages: 341
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  sahihisha maandishi mrema ni marangu sio rombo, na angekuwa rais uwizi wa nje nje na ufisadi vingekoma. namkubali lyatonga. mwangalie bungeni anavyotetea wana vunjo. wabunge wengine wamekazana mwongozo mwongozo ye upuuzi huo hana
   
 14. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #14
  Jul 27, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,292
  Likes Received: 22,064
  Trophy Points: 280
  Mrema alikuwa mla rushwa?
   
Loading...