Sio CCM wala Upinzani... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sio CCM wala Upinzani...

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Salathiel m., Jul 27, 2012.

 1. Salathiel m.

  Salathiel m. JF-Expert Member

  #1
  Jul 27, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 241
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Ili nchi iwe na mabadiliko ni lazima sisi wananchi ndio tubadilike,hata kiingie chama gani madarakani kamwe awawezi leta mabadiliko ikiwa jamii yetu itaendelea kua doro hivi! Inatakiwa ifike wakati kiongozi awe anaogopa kula mali ya umma kwa kuogopa macho ya wananchi! Lakin sasa watu wanajizolea mihela uku wakiamini hakuna wa kumfanya kitu,na kweli wananchi watapga kelele siku 2 tu basi wanahamia kwene mada zingine.we have to change!!!
   
 2. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #2
  Jul 27, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Kama umekosa toilet paper tumia basi hata maji kujichambia !
   
 3. peri

  peri JF-Expert Member

  #3
  Jul 27, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 2,588
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Umenena vyema sana mkuu, nami naimani kama yako.
  tatizo letu ni kubwa zaidi ya cdm/ccm. Tunahitaji mabadiliko makubwa ambayo ccm/cdm pekee hawawezi kuyaleta.
  MF: angalia suala la sheria ya penshen, sio ccm/cdm waliolikataa, mpaka wananchi walipoanza kupaza sauti ndo zikawaamsha usingizini. Woote tulowatuma mjengone hawakulisemea hili, wakalipitisha bila kuhoji.
  Hakika tunahitaji mabadiliko makubwa.
   
 4. Goodrich

  Goodrich JF-Expert Member

  #4
  Jul 27, 2012
  Joined: Jan 29, 2012
  Messages: 2,050
  Likes Received: 632
  Trophy Points: 280
  Tatizo tulilonalo ni Mfumo.
  Kwa mfumo wa sasa mwananchi hana sauti.
   
 5. Z

  ZeMarcopolo JF-Expert Member

  #5
  Jul 27, 2012
  Joined: May 11, 2008
  Messages: 13,590
  Likes Received: 480
  Trophy Points: 180
  Tatizo lililopo ni kwamba hata hao walalamikaji ni walaji pia. Hata mtu anayesimamia mapato ya bomba la kijiji anafanya ufisadi.Kwahito, kiuhalisia watu wengi wanaopigia makelele ufisadi wanafanya hivyo sio kwa sababu hawapendi ufisadi, ila ni kwasababu hawajapata fursa ya kuufanya huo ufisadi.
   
 6. Salathiel m.

  Salathiel m. JF-Expert Member

  #6
  Jul 28, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 241
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Bw.Punga najua wewe unatumia mafuta kujitawazia ndo mana mlaini sn punga!
   
 7. Salathiel m.

  Salathiel m. JF-Expert Member

  #7
  Jul 28, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 241
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Umeona mkuu eeeh,nguvu ya umma ni noma na ndio kila kitu!
   
 8. Salathiel m.

  Salathiel m. JF-Expert Member

  #8
  Jul 28, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 241
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Dunia nzima mifumo mingi haisapot ila wananch wanaforce tu!
   
 9. Salathiel m.

  Salathiel m. JF-Expert Member

  #9
  Jul 28, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 241
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Jomba inamaana wewe upigii kelele ufisadi?
   
 10. f

  filonos JF-Expert Member

  #10
  Jul 28, 2012
  Joined: Oct 13, 2011
  Messages: 651
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 45
  jinalake 2 linatisha PUNGA.......mwisho litaitwa BWABWA......
   
Loading...