Mpesa,Airtel Money and Tigo pesa

majany

JF-Expert Member
Sep 30, 2008
1,223
579
Umeshawahi kujiuliza kwamba ikitokea umeamka asubuhi na kuambiwa moja ya makampuni ya simu yanayotoa huduma za kifedha yamefilisika.....???then what will happen to those money on air???simaanishi credit,namaanisha pesa zilizo kwenye akaunti za Mpesa,Airtel money na nyinginezo......
Kumbuka hakuna mamlaka zinazohakikisha kwamba depositors interests zitakua 'taken care'......
 
Kila kitu kinawezekana nchi hii.
kama leo mtu ameambiwa hakuna kuchukua pesa zake alizokatwa kmiaka mingi itashindikanaje hilo?
makampuni yote ya simu wakubwa wana hisa.
 
I was in a certain training at Bank Of Tanzania,nikajikuta nauliza hili swali...they confirmed kwamba hakuna anayelinda wale depositors....kijasho kilinitoka....
 
dah ili nalo neno aiseee, umenikumbusha nilivyolia machozi ya damu msimu wa DECI
 
Lkn hii mitandao inatusaidia

sijakataa,unaikumbuka greenland bank au meridian biao bank,hizi zote zilikua zinasaidia sana,but zilipo'collapse,thanks God kuna nyingine ilinunuliwa na stanbic lakini kama ni bila bila,hali inakua tete sana...
 
Kama hakuna ugoigoi katika utawala wa nchi, bila shaka hizo huduma za kibenki za kampuni za simu zinajiliwa, kuthibitiwa na kuwekewa dhamana na benki kuu. Hivyo kampuni ikifa benki kuu inatakiwa kuwajibika kuwarudishia wateja fedha zao.
 
Mkuu umenikumbusha DECI kwa jinsi mbegu nilizopanda zilivyooza bila kuota hadi leo!
 
Mtoa mada umeongea kitu cha msingi sana ambacho watu wengi hawajawahi kujiuliza.

Kimsingi haya makampuni ya simu tusiseme yanatusaidia kwa sababu this is business. Hatuweki na kutoa pesa zetu bure, tena hawa wanakata ada kubwa sana kuliko hata bank, eti kutuma laki 5 wao wanacharge elfu tano.

Nitoe mfano halisi wa jinsi wanavyotuibia hawa watu:-
Jana nimetoa 10milion CRDB ambapo wamenicharge Tshs 20,000.
Kutuma Tigo pesa maximum 500,000 wana charge 5,000.
Iwapo mtu unataka kuwatumia Tigo Pesa watu 20 shilingi laki tano laki tano (maximum limit) ambapo itakupa jumla ya hela unayotuma Tshs 10milioni, ni kwamba utakuwa umetozwa ada ya Tshs. 100,000.

Hebu angalia tofauti hiyo, Kutuma Milioni 10 kwa Bank umetozwa elfu 20 na kutuma same amount kwa tigo pesa utatozwa 100,000.

Tunahitaji mtu wa kulinda pesa zetu na kuzisimamia kwa kweli, sijui hata ni nani tumuulizwe mana kila mmoja nchi hii ni bora liende.
 
mtoa mada umeongea kitu cha msingi sana ambacho watu wengi hawajawahi kujiuliza.

Kimsingi haya makampuni ya simu tusiseme yanatusaidia kwa sababu this is business. Hatuweki na kutoa pesa zetu bure, tena hawa wanakata ada kubwa sana kuliko hata bank, eti kutuma laki 5 wao wanacharge elfu tano.

Nitoe mfano halisi wa jinsi wanavyotuibia hawa watu:-
jana nimetoa 10milion crdb ambapo wamenicharge tshs 20,000.
Kutuma tigo pesa maximum 500,000 wana charge 5,000.
Iwapo mtu unataka kuwatumia tigo pesa watu 20 shilingi laki tano laki tano (maximum limit) ambapo itakupa jumla ya hela unayotuma tshs 10milioni, ni kwamba utakuwa umetozwa ada ya tshs. 100,000.

Hebu angalia tofauti hiyo, kutuma milioni 10 kwa bank umetozwa elfu 20 na kutuma same amount kwa tigo pesa utatozwa 100,000.

Tunahitaji mtu wa kulinda pesa zetu na kuzisimamia kwa kweli, sijui hata ni nani tumuulizwe mana kila mmoja nchi hii ni bora liende.

tatizo ni kuwa wkt wewe una crdb wale unaowatumia hawana account yoyote ya benki.......inasaidia ila ni maumivu na there is zero security
 
Mawakala wao ni wahuni make ukienda kupata uduma unaulizwa" unaweka au unatoa? Ukisema unaweka wanakwamaia hawana pesa.
Hii ni kwasabab unapoweka hawagain ki2
but ukitoa wanapata some amounts. Cwapend cwapend!
 
Back
Top Bottom