mjumbe wa halmashauli kuu ya taifa NEC kupitia CCM. ametoa kitabu kinachoelezea uozo, na mizengwe aliyofanyiwa yeye kuanzia ngazi ya tawi, kata hadi wilaya, ili asichaguliwe kuwa...
Ajali hii imetokea maeneo ya Mbezi Afrikana jijini Dar ambapo Lori hili lenye nambari za usajili T 545 BPU lililokuwa likimwaga mchanga na kujikuta likipiga mweleka na kuangukia Gari ndogo aina ya...
Juzi nilimshangaa mbunge mmoja alipokuwa akichangia hotuba ya Wizara ya Habari na kudai eti Mengi ni 'mfano wa kuigwa' katika kushughulikia maslahi ya wafanyakazi. Ukweli ni kwamba waandishi wa...
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam, imemhukumu kifungo cha miaka 18 jela Kada wa CCM, Rajabu Maranda na binamu yake, Farijala Hussein katika kesi ya tuhuma za kuchota Sh2.2...
Nasikia haya mashirika yana pesa nyingi za kutisha lakini jinsi fedha zinavyowekezwa mashaka lazima yatande kila mahala. naomba kuuliza yafuatayo.
1. Hivi hiyo Riba tunayopata ya kama asilimi...
Baada ya kuangalia "The Great Migation" ya wanyama wanaotoka Serengeti kwenda Maasai Mara Kenya kukimbia ukame Tanzania, kwa kweli nimeshikwa na hasira. Kwa nini? Maasai Mara ni sehemu ndogo sana...
Mh mwakyembe kaka yangu
kwanza na kupongeza kwa juhudi ulizonazo ambazo kwa kweli naamini
itachukua muda kubadilisha mamiliion ya majambazi kila sehemu unayokwenda
binafis umekuwa ukitangaza...
Anzeni ku-pack mabegi yenu,kaeni mkao wa kukwea pipa, Vasco da gamanism imepata sababu ya kuendelea ku-take place,maana safari ya Accra-Ghana ndo hiyooo imewadia.
Wana JF.
Naomba msaada wenu, kueleweshwa hatua kwa hatua na gharama zake ili kupata hati ya kumiliki nyumba/kiwanja.
Nimejenga maeneo ya Kimara na ninahitaji kupata hati.
Anayefahamu anisaidie...
Leo mchana niliingia kwenye restaurant moja hapa Moshi mjini inayotazamana na Shree Hindu Temple. Nikaagiza chakula wakaleta baada ya muda mrefu na kuwapigia kelele kwa sababu wahudumu walikuwa...
Ndugu wana jf poleni na shughuli za kujenga Taifa.Mimi binafsi najaribu kuangalia rasilimali za nchi tulizonazo hapa nchini. Tunaishia kukaa kwenye STOOL ya DHAHABU huku tukiwa SAIDIA baba,SAIDIA...
Kwa mujibu wa habari zilizofika punde chumba cha habari TBC1, ndege hiyo imepasuka matairi matatu, mawili kulia, nyuma na moja kushoto, nyuma wakati inatua ikitokea Mwanza.
MAONI YA KUSINI PEMBA (updates)Written by Ahmed Omar Khamis // 25/07/2012 // Habari // 3 Comments
S/N
TAREHE
SHEHIA
SER 1
SER2
SER3
MKATABA
WAPUMUE
WASOFAHAMIKA
1
17/7
Chachani/...
Dear Prospective Partners,
USADF Tanzania wishes to inform you of the possible recruitment of Partner Organization.
Please review the attached doc and respond as soon as you can.
Any further...
ukitokea ubungo kuelekea Mwenge pale baada ya TCRA,kuna por ambalo kwa muda mrefu halijaendelezwa.najiuliza hlo por ni mal ya nani? Au ni open space? Aksanten kwa msaada
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.