Kuna kitu sielewi kuhusu Uandishi wa baadhi ya magazeti, ni hivi mtu unaona habari kwenye ukurasa wa mbele wa Gazeti unaisoma Habari hiyo labda inachukua kama mistari kumi au zaidi halafu wanasema...
Kashfa ya rushwa kamati ya madini na nishati, ni moja kati ya nzito kashfa zinazoweza kuichafua serikali, na pia kuchafua wahusika, waliomo na wasi kuwemo ndani ya kamati husika. Hii inatokana na...
Kwa ufupi mchambuzi yeyote wa siasa anaweza kusema kuwa migomo ambayo imekuwaikilipuka kila kukicha nchini Tanzania imekuwa ikisababishwa na wananchi kupoteza imani na Serikali iliyopo madarakani...
WAKAZI wa Mtaa wa Nyanchenche Road mjini Sengerema juzi walifurika kushuhudia tukio la kuonekana jogoo asiye na manyoya akitembea huku akiwa amefungwa shanga na hirizi mbili shingoni na mabawa...
Ndugu zanguni
kama mnijuavyo na walionizoea wanaoendelea kunizoea mi sipepesi macho wala sitaki kuwa
mnafiki pale ninapoona mtu mzima anapopewa chombo kama clouds fm na kuanza kukitumia vibaya...
TBC mnatutia aibu kuliwacha hilo screen bovu nyuma ya mtangazaji wa taarifa ya habari. Kumbukeni kuwa hii TV inatazamwa ndani na nje ya Tanzania, mnaitia doa jeusi Tanzania kote inakotazamwa...
Jamani 2mwamini nani watanzania
make wabunge tayar wameisha2geukia.
Mimi nahsi inatosha, katiba mpya lazima impe mpiga kura nguvu na mamlaka ya kumwondoa mbunge madarakani.
Kama hawa walokula...
Imekuwa mazoea kwny vijiwe vyetu kuwa unywaji wa pombe kali spirits km konyagi,vodka,gin nk kuwa zinakata mafuta na kwa wenye miili mikubwa wengi wamejikita huko je ni kweli kuna ambaye amepunguza...
Hadi leo hii,tangu kuteuliwa kwake,Waziri wa Uchukuzi Dr. Harrison Mwakyembe hakuwahi kuwa na mkutano wa kiofisi na wafanyakazi wa Shirika la Bandari almaarufu kama Wazee wa Bandari.
Wachambuzi...
Ndugu zangu naomba tujadili, nisahihi polisi kuwafanya waendesha bodaboda,vijana walioamua kujitafutia riziki na kuachana na utumiaji wa madawa ya kulevya,uporoji na utapeli, njia ya ukamataji...
Posted date: May 27, 2012 | 35 Comments
The rankings below were published in Wikipedia from International Monetary Fund's 2011 gross domestic product per capita (GDP per capita) report and...
Wadau nimekuwa na matumaini makubwa sana na vyama vya upinzani haswa CHADEMA kwa muda mrefu nikiamini huyu ndiye mkombozi ajaye kwa wananchi wa Tanzania. Katika siku za hivi karibuni zimeibuka...
Are the Tanzania's law makers knowing if every person cut from employment DESERVES?
If is clear with me, The law demands one out of employment/expelled to claim for his terminal benefits till...
Afisa mmoja wa polisi MWENYE NYOTA MOJA ameniambia kuwa nimesoma lakin sijaelimika.
Kisa eti nimegoma kutoa RUSHWA kwake.YAN hadi RB sasa inauzwa, kwenda kumkamata mtuhumiwa nigharimie USAFIRI NA...
JE, umewahi kujiuliza Jeshi la Polisi haliaminiki kiasi gani na kwa nini?
Je, unajua kwamba hata mawaziri wa serikali hii ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) hawana imani na Jeshi la Polisi?Hebu...
Habarini, nilikuwa busy na masomo lakini toka Juzi nimekuwa
nikipokea sms kadhaa zikinipa taarifa juu ya mabomu yanayoendelea
kulipuliwa Tandahimba tena safari hii inaonekana vurugu hizo zimehamia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.