Scrap metal! Mv liemba 99 yrs old today, too dangerous to serve the public! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Scrap metal! Mv liemba 99 yrs old today, too dangerous to serve the public!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Chilisosi, Jul 26, 2012.

 1. Chilisosi

  Chilisosi JF-Expert Member

  #1
  Jul 26, 2012
  Joined: Oct 19, 2008
  Messages: 3,055
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Nimefikiria sana suala la kuzama meli zanzibar na nikaangalia usalama wa vyombo vingine nilivyowahi kusafiria tanzania. Nimeikumbuka hii meli Mv Liemba ya lake tanganyika ambayo ni ya zamani sana. Nadhani ingekuwa uamuzi wa busara kuisimamisha kazi hii meli kabla haijaleta maafa.
  Hii meli ni kubwa sana ina uwezo wa kubeba abiria kama 3000 na kama ikizama maafa yake yatakuwa makubwa sana kwa sababu lake tanganyika lina kina kirefu sana.
  Kwa nini serikali isinunue meli nyingine na kui pumzisha hii liemba ili iwe kama ya makumbusho tu???

  hebu soma chini historia ya hii meli.

  The MV Liemba, formerly the Graf von Götzen, is a passenger and cargo ferry that runs along the eastern shore of Lake Tanganyika. She is operated by the Marine Services Company Limited of Tanzania[1] and operates between the ports of Kigoma, Tanzania and Mpulungu, Zambia with numerous stops to pick up and set down passengers in between.
  Graf von Götzen was built in 1913 in Germany, and was one of three vessels operated by the German Empire to control Lake Tanganyika during the early part of the First World War. Her master had her scuttled on 26 July 1916 off the mouth of the Malagarasi River during the German retreat from the town of Kigoma. In 1924 a British Royal Navy salvage team raised her and in 1927 she was recommissioned as the Liemba.
   
 2. t

  timbilimu JF-Expert Member

  #2
  Jul 27, 2012
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 4,779
  Likes Received: 151
  Trophy Points: 160
  Ushauri wako utasikilizwa baada ya maafa!
   
 3. masopakyindi

  masopakyindi JF-Expert Member

  #3
  Jul 27, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 13,896
  Likes Received: 2,316
  Trophy Points: 280
  Watanzania tunasikitisha kwa kutuwa na culture ya maintainance.
  MV Liemba imeweza kuelea kwa miaka hiyo 99 kwa vile imekuwa ikifanyiwa matengenezo ya mara kwa mara, scheduled na corrective maintainance.

  Hata ukinunua mpya leo kama hakuna maintainance ni kazi bure.
  Meli iliyozama ilikuwa na miaka si zaidi ya 20 toka kutengenezwa, leo iko chini ya bahari.

  Watanzania tujifunze kuwa upya si hoja, bali matumizi sahihi na matengenezo(maintainance) ni mhuhimu na wakati mwingine ni ya gharama isiyo epukika.
   
 4. Chilisosi

  Chilisosi JF-Expert Member

  #4
  Jul 27, 2012
  Joined: Oct 19, 2008
  Messages: 3,055
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Hata kama kuna maintanance lakini tukubali kuwa hii meli imezeeka sana sasa haifai kuwa majini
   
 5. Mangaline

  Mangaline JF-Expert Member

  #5
  Jul 27, 2012
  Joined: May 19, 2012
  Messages: 1,052
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Tutaunda Tume, ikileta maafa. kwa sasa haina tatizo.
   
 6. m

  mgadafi Member

  #6
  Jul 28, 2012
  Joined: Feb 27, 2012
  Messages: 54
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  mheshimiwa chilisos naomba nikuulize umeipanda lyemba mara ngapi na vp umegunduwa kama imechoka au kuzeeka sana
   
Loading...