Nimechoka na facebook. Nataka kuachana nayo na kuifunga account yangu.

Jul 13, 2012
13
3
Wakuu,

najua baadhi yenu mnajua ninachouliza. Ni kwamba nilifungua account ya facebook lakini hatimaye sioni faida yake. Nimeamua niifunge yaani nisiwe nayo kamwe. Iwe deleted kama inawezekana.

Nifanyeje. Nitumie process zipi.

Saidia tafadahali.
 
kuan nini jamaa yangu wamekutusi? au huchangii na wenzako, km hupendi nenda update status gonga Only me weka vitu vyako sasa km picha na story lakini sikulazimishi wewe jitoe au usiifungue hiyo F/B
 
kuan nini jamaa yangu wamekutusi? au huchangii na wenzako, km hupendi nenda update status gonga Only me weka vitu vyako sasa km picha na story lakini sikulazimishi wewe jitoe au usiifungue hiyo F/B

Wewe na wewe kweli facebook. Hata hueleweki unaandika nini. Jamani mumemuelewa huyu dogo?
 
Mkuu,

Naona itanisaidia. Kwa sasa hivi katika time zone yetu ni usiku. Hivyo nimeitunza link somewhere ili asubuhi nifuate procedures zote.

Lakini wadau wengine wasisite kunisaidia altertatives.

Unajua kutumia mtandao na uliingia nenda kwenye help page yao saka unalotaka. umepewa link na bado unaomba msaada toka kwa wengine ili iweje.
 
Sa huku unamtangazia nani,kwani hiyo fb iko huku,acha viroba wewe,huku sio fb.

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Kwel jamaa wa fb wanaboa kshenz. Unaweza kuta m2 ameandka kwnye wall yake "am eating" sasa kama unakula nfanyeje?
 
fb mabishoo 2pu, eti mtu akigombana na kidemu chake anaandika kwenye wall. vikipatana vinaandikiana i l lv u bby. utoto mtupu!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom