Kaburu Matatani kwa Kupanga Kumuua Mandela | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kaburu Matatani kwa Kupanga Kumuua Mandela

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by MziziMkavu, Jul 28, 2012.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  Jul 28, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,616
  Likes Received: 4,617
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
  Mtu aliyepanga njama za kutaka kumuuwa rais wa kwanza mweusi wa Afrika Kusini, Nelson Mandela amepatikana na hatia.


  Mahakama ya Pretoria ilimpata kiongozi wa kundi la -Boeremag linaloamini kuwa mtu mweupe ni bora alipatikana na hatia ya kupanga kummua Mandela mwaka 2002.


  Bwana Mike du Toit ndiye aliyepanga milipuko tisa katika eneo la Soweto mjini Johannesburg mwaka 2002.


  Kiongozi huyo wa kundi la ki-baguzi ni mtu wa kwanza kupatikana na hatia tangu utawala wa wengi uanze mwaka 1994 Afrika kusini.


  Wachanganuzi wanasema kuwa bado kuna hali ya kutopendana katiki ya watu wa rangi tofauti nchini Afrika kusini.
  Hata hivyo kundi kama la Boeremag,inayomaanisha Nguvu za Makaburu miongoni mwa Makaburu ,halina ufuasi mkubwa.
  Mahakama hiyo ya Pretoria imempata Du Toit, ambaye alikuwa msomi baada ya kusikiliza kesi hiyo kwa miaka tisa GUMZO LA JIJI: Kaburu Matatani kwa Kupanga Kumuua Mandela
   
 2. K

  KengeWaKijani Senior Member

  #2
  Jul 28, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 103
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mda wote huo tangu 2002, anyongwe huyo
   
 3. L

  Leakey G7 Member

  #3
  Jul 28, 2012
  Joined: Jun 2, 2012
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Adhabu yeke kweli ni kinyogwa hatutaki ubaguzi wa rangi
   
Loading...