Tusker sijui serengeti acheni utani.... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tusker sijui serengeti acheni utani....

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Crucifix, Jul 22, 2012.

 1. Crucifix

  Crucifix JF-Expert Member

  #1
  Jul 22, 2012
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 1,618
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  mmeweka promosheni na shindano, sasa namba chini ya kizibo hazisomeki vizuri na mnajua haya sio maji. leo vizibo vyote naambiwa nimekosea namba, hata kama nimemulika na katochi kangu ka simu. huu utani wenu sio mzuri ati....andikeni namba kubwa kubwa sie tyhd nhgiuy zawssdudi tu tena za kjgtuyi tumma........
   
 2. Kibwebwe

  Kibwebwe JF-Expert Member

  #2
  Jul 22, 2012
  Joined: Jun 26, 2012
  Messages: 797
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 45
  upo sahihi mkuu
   
 3. Crucifix

  Crucifix JF-Expert Member

  #3
  Jul 23, 2012
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 1,618
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  umewaona eh! au ndio janja yao watu wasipate zawadi?
   
 4. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #4
  Jul 23, 2012
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Mkuu bila shaka umeuandika huu uzi wakati tayari ushastua mbili tatu!!
   
 5. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #5
  Jul 23, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,869
  Likes Received: 6,220
  Trophy Points: 280
  hahahhaaaaa loh....
   
 6. Crucifix

  Crucifix JF-Expert Member

  #6
  Jul 23, 2012
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 1,618
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  zilikuwa nne tu japo bili ilisomeka 6, yaani kulizwa kotekote......
   
 7. m

  mattzakh Member

  #7
  Jul 23, 2012
  Joined: Apr 21, 2012
  Messages: 21
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ha ha ha haa kweli bhana mi huwa naangalia bia ya bure tu, kama hamina natupa kizibo!
   
 8. Crucifix

  Crucifix JF-Expert Member

  #8
  Jul 24, 2012
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 1,618
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  duh kumbe tuko wengi. Ila si uongo, kuna siku nilikosa castle nikajaribu Tusker so nikaona hii habari kwa mara ya kwanza. Nilikata kiu halafu niliingiza namba nikaambiwa nimeshinda 10,000/= na kweli kesho yake nikapokea 10,000 kwa Mpesa toka SBL. Sasa nikahama kwa muda nikitegemea kupata tena wapi! Ile 10,000 imeshapiiliza kila siku naambia nimeingizwa kwenye droo......ila huu uhuni wa vinamba vidogo ndio unanikosesha kwa sababu naamini nina bahati.....
   
 9. l

  lusuadam Member

  #9
  Jul 27, 2012
  Joined: Feb 4, 2008
  Messages: 18
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  jamaa wameniboa sana safari hii. kwanza shindano lenyewe lilikuwa ni kama la wakazi wa Dar pekee. imechukua zaidi ya mwezi vizibo hivyo vya prpmotion kufika.
   
Loading...