Kwanini Wizara ya Nishati & Madini inakabiliwa & Rushwa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwanini Wizara ya Nishati & Madini inakabiliwa & Rushwa?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kennedy, Jul 27, 2012.

 1. Kennedy

  Kennedy JF-Expert Member

  #1
  Jul 27, 2012
  Joined: Dec 28, 2011
  Messages: 11,347
  Likes Received: 2,984
  Trophy Points: 280
  Tanzania nchi yenye madini ya kila aina tele,mito inayoririka maji mwaka mzima,maziwa na mabwawe mengi. Lakini kuanzia Bajeti ya fedha 2011-2012 rushwa imeshamiri ndani ya wizara na idara zake.Hatua zilizochukuliwa kwa JAIRO,NGEREJA n.k hatukuziona. Leo bajeti ya 2012-2013 Viongozi tena wanatuhumiwa kwa rushwa mpaka wabunge.Je? wizara hii ina pesa sana za rushwa kuliko kutekeleza jukumu la kuleta umeme kwa wananchi wake. Bajeti mpaka rushwa ndiyo ipitishwe,walimu wanadai serikali inakwenda mahakamani.Kwanini wale wote wala rushwa wasichukuliwe hatua haraka sana?
   
Loading...