1: If the Road is Beautiful then, Worry About the Destination,
But if the Destination is Beautiful, Then Don't Worry About The Road!
2: We Always Feel that GOD Never comes on Time When We...
Binaisas son jailed 12 years for defilementBinaisa
Posted Thursday, July 26 2012 at 01:00
In Summary
The judge says prosecution had produced evidence beyond reasonable doubt to convict...
Wadau
Kituo cha kwa Manyanya kimekidhili wavuta unga na mateja nnje nnje ukipita hapo utawaona wanavyojidunga madawa yao na kuvuta bangi, cha kushangaza nyumba ya nne kutoka hapo ni nyumba ya...
Malalamiko yaliyojitokeza kwenye ugawaji wa viwanja uliofanywa na Manispaa ya Temeke ukihusisha viwanja vilivyopimwa kule Gezaulole ni matokeo ya mipango mibovu ya serikali kuhusu ugawaji huo...
Inakuwaje umepewa nafasi ya ukurugenzi katika mojawapo ya ofisi ya serikali kabla ya hapo ulikuwa unashirikiana vizuri na wafanyakazi wenzako lakini baada ya kupewa hiyo nafasi unaanza kuwadharau...
Wakuu duh, sikuwa najua nimekutana na hii private agancy ya ujasusi na upelelezi: Tanzania Private Investigators and Detectives, Matrimonial Surveillance, Relationship Investigations, Missing...
wana jf Ni tetesi tu lakini yawezekana kusemwa.
Hatimaye yule kijana anayesemekana ametokea nchi ya jirani (kenya) anayehusishwa na tukio la utekajinyala wa Dr.Ulimboka, ameweza kutambua...
Wana jf ama kwahakika hali ya maisha kwasasa ngumu kuliko maelezo,kuna wakati najiuliza ugumu huu ni kwa wote au baadhi? Kuna wakati kama sasa Serikali imeongeza kima cha chini cha...
A New Report/ Lives on Hold: AgriSol's Land Deal in Tanzania Creates an Uncertain Future for More than 160,000 People****** ******* ******* ******* ******* ******* ******* ******* ******* *******...
Ramadhan Kareem wana jamii. Jana katika kipindi cha Power Breakfast Clouds FM walialikwa reporters wa supersport katika mashindano ya kagame. Kwa wale wenzangu wachache mliopata angalau nafasi...
Mweyekiti wa G55 amepongeza juhudi za UAMSHO kuleta mabadiliko ya muungano. Amesema kwame tuko nyuma yenu na amini mia kwa mia jiwe mlotupa litaua ndege wawili kwa mpigo! Maadam kukomboa...
Mtakubalina nami kwamba bodi ya wakurugenzi ina mchango mkubwa sana kwenye uendeshaji wa shirika lolote lile pamoja na mashirika yetu ya umma. Ukiangalia mashirika yote yanayofanya vizuri yana...
Hivi jamani hili tatizo la umeme tz mpaka lini? Kwani bila Tanesco, Tz hatuwezi kumaliza tatizo hili!,
Kwanini hawa viongozi wetu wasiruhusu makampuni makubwa yenye uwezo yaje kuwekeza ili...
Habari za wakati huu wapendwa. Najua ndugu zetu WAISLAM wapo katika mfungo wa mwezi mtukufu wa RAMADAN, kipekee niwatakie kheri na fanaka"RAMADAN KHAREEM"
Ni siku ya tisa tangu nimerejea jijini...
Nikiwa muajiriwa katika kampuni binafsi moja hapa nchini. Nimeamua kukuandikia hii barua kutoa dukuduku langu la moyoni juu ya hiyo sheria ya mafao uliyo isaini ya NSSF, PPF na kadhalika.
Wewe...
Ingawa siyo vizuri kudai dai, lakini uliahidi mwenyewe. Ingawa sijui ni lini utaitimiza, naomba iwe hivi karibuni. Nimeingiwa hofu baada ya kuona jinsi wenzetu walivyokufa kwa maji majuzi huko...
nyie wabunge paka siamini kama nyie ndo mlopita kwa wananchi kuomba kura ambazo leo ndo zimewaweka humo bungen. Hii sheria ya mabadiliko Mifuko ya jamii imepitaje au nyie mmeridhika na hivo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.