Serikali ya kikwete inachoongea na kutenda ni vitu viwili tofauti yee mwenyewe jana kaongea kizaramo kuthibitisha hilo kwani mpaka leo tarehe 2 august salary bado kwa watumishi wake japo alisema...
Leo wakati unachangia hoja ya Mh. Mwakyembe, ulisema kuwa katika hotuba yake hakutaja mahali popote ambapo alitaje ajali ya MV Skagit na kutoa pole kwa wahanga. Mbunge mwenzako akatoa preliminary...
Maonyesho ya kilimo Al maarufu Nane Nane kitaifa yalifunguliwa jana huko Dodoma na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, na yale ya kanda ya Mashariki yalifunguliwa na Waziri Mkuu. Sisi wakulima...
Wakuu hii imekaaje?
Nimelisikia Jembe linalalamika kwamba halina mamlaka na madaraka na mambo ya uchukuzi kule visiwani. Hivi hii Wizara ni ya Muungano au kila nchi ni mwake? Ndo maana jamaa...
Kwa mtizamo wa bunge la sasa ambalo wabunge wengi wameamua kuingia likizo ya kufikiri, sasa uwaziri ni mteremko kabisa. Hata kama kuna mambo ya msingi ya kujadili yanayoweza kujadiliwa, wazili...
Tumeshuhudia utawala wa sasa ukitumia vyombo vya dola kama nyenzo na matokeo yake wote mmeona. Nchi imekuwa ngumu kutawalika, ufisadi umeongezeka, rushwa hadi bungeni!!! Uchaguzi uliopita ulimleta...
Leo tujihoji wadau, umewahi mara ngapi kulihujumu shirika la Usambazaji umeme Tanzania (TANESCO),
kwa kuleta vishoka nyumbani literally (fundi tanesco) kuibana mita ipunguze mwendo?
Kuweka...
Kikwete asisitiza Serikali kutompiga Dk. Ulimboka
na Mwandishi wetu
RAIS Jakaya Kikwete ameendelea kuyapuuza na kukana madai yanayoihusisha serikali yake na tukio la kutekwa...
Watu wengi huingia kwenye migomo mbalimbali kwa kukurupuka na matokeo yake ni kushindwa kufikia malengo yao.Watanzania wengi hasa walio kwenye ajira hutegemea mishahara na posho ambapo hawana...
Mchoraji wa katuni za kipanya kwenye gazeti la mwananchi MASOUD KIPANYA ametunukiwa tuzo ya vitendea kazi ambayo amezawadiwa na kampuni ya simu za mkononi ya VODACOM,ambapo kipanya amepata tuzo...
MAONI KUSINI PEMBA (updates)Written by Ahmed Omar Khamis // 02/08/2012 // Habari // 2 Comments
S/N
TAREHE
SHEHIA
SER 1
SER2
SER3
MKATABA
WAPUMUE
WASOFAHAMIKA
1
17/7
Chachani/ msingini...
Mwanasiasa Mkongwe Mzee Hassan Nassor Moyo azungumza na waandishi leo
-Mwandishi wa Habari Mwandamizi Salim Said Salim akimkaribisha Mwanasiasa Mkongwe Hassana Nassor Moyo kuzungumza na...
Wasaidie wapiga picha wako wa ITV mikoani hata kajiposho, hii niaibu kwako wewe wamekuwa wakitegemea vijiposho vya mikutano, imefikia hata sasa wengine kushindwa kulipa hata kodi ya nyumba...
Kuna meli inayofanya shughuli za usafirishaji WA abiria ktk ziwa Tanganyika tangu Enzi za mjerumani. ILA mi napata wasiwasi WA kuendelea kujivunia na history hii. I think this is not safe kwani...
Ndugu zangu,kama mtu akipora simu tunamshambulia kwa nawe,marungu na hata kumchoma moto kwa Sababu ya hasira na kutokuwa na imani na jeshi la polisi...naomba tuungane katika kampeni hii,kila...
WIZARA ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), imesisitiza kwamba upimaji wa afya wa vijana wanaotaka kujiunga na Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) hufanyika mara mbili na hakuna...
Najina ya watu walioomba nafasi za sensa majina yao yamebandikwa leo sehemu mbalimbali ninataarifa za mpwapwa huku walimu wamepata wachache sana esp wa sekondari sijui ndo tunakomolewa na mgomo au...
Habari wanaJF,niandike hoja hii kwa majonzi yakukumbuka hujuma za mafisadi juu ya TTCL,walianzisha kakampuni kao wakakaita CELTEL(natumai mnakumbuka).kwa kutumia rasilimali za TTCL wakajitanua na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.