Moyo apasua Jipu kwa wenye kujali maslahi yao Binafsi kuliko Uzalendo wa nchi. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Moyo apasua Jipu kwa wenye kujali maslahi yao Binafsi kuliko Uzalendo wa nchi.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by abdulahsaf, Aug 2, 2012.

 1. a

  abdulahsaf JF-Expert Member

  #1
  Aug 2, 2012
  Joined: Aug 31, 2010
  Messages: 859
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  [h=3]Mwanasiasa Mkongwe Mzee Hassan Nassor Moyo azungumza na waandishi leo[/h]

  [​IMG]

  -Mwandishi wa Habari Mwandamizi Salim Said Salim akimkaribisha Mwanasiasa Mkongwe Hassana Nassor Moyo kuzungumza na Waandishi mbalimbali kuhusiana na Mambo ya Muungano hapo katika Ukumbi wa Hoteli ya Rumaisa Bwawani Zanzibar
  [​IMG]

  Baadhi ya Waandishi wa Habari mbalimbali waliohudhuria Katika Mkutano wa Mwanasisa Mkongwe Hassan Nassor Moyo akizungumzia mambo ya Muungano hapo katika Ukumbi wa Hoteli ya Rumaisa Bwawani Zanzibar.
  [​IMG]

  Mwanasiasa Mkongwe Hassan Nassor Moyo Akionyesha hati za makubaliano ya mambo ya Muungano mbele ya Waandishi wa Habari mbalimbali waliohudhuria katika mkutano wake hapo katika Ukumbi wa Hoteli ya Rumaisa Bwawani Zanzibar.
  [​IMG]

  Mwanasiasa Mkongwe Hassan Nassor Moyo akizungumza na Waandishi wa Habari mbalimbali kuhusiana na Mambo ya Muungano hapo katika Ukumbi wa Hoteli ya Rumaisa Bwawani Zanzibar
  [​IMG]

  -Mwandishi wa Habari wa Gaazeti la Zanzibar leo Mwantanga Ame akimuuliza maswali Mwanasiasa Mkongwe Hassan Nassor Moyo hapo katika Ukumbi wa Hoteli ya Rumaisa Bwawani Zanzibar.

  Picha zote na Yussuf Simai, Maelezo

  Bonyeza Sauti.
  Sauti:Mzee Moyo aitolea uvivu CCM | Mzalendo.net
   
Loading...