ndg watanzania wenzangu hii rushwa ivi chanzo chake hasa nn?Sasa imeanza kuingia hadi kwenye chama ninachokipenda nadhani wote mnakijua ambacho kimeibua mambo mengi sana wengi wetu tulikuwa...
ROSE HAJI Dhahabu ya kale isiyofubaa katika tasnia ya habari Send to a friend
Sunday, 29 July 2012 13:22
Florence Majani
WENYE hekima waliwahi kusema kuwa, Dhahabu haiwezi kungaa, hadi...
Global Peace Index Rankings ambao hutoa orodha ya nchi zenye amani dunia kila mwaka kwa nchi zote duniani. Kwa mwaka huu 2012 Botswana ndiyo nchi inayoongoza kwa amani barani Afrika ikiwa ni ya 31...
Nakumbuka wakati mfumo wa vyama vingi unaruhusiwa hapa Tanzania njia kuu ya mawasiliano ya kupata taarifa muhimu za vyama ilikuwa ni magazeti moja ya magazeti mahiri kwa wakati huu yalikuwa ni...
TO ALL PARENTS, PARENTS TO BE, GRAND PARENTS AND GRAND PARENTS TO BE.
Appreciate your maids otherwise you will find her gone and your baby is left by the tree!!!!
Hawa jamaa walijitangaza hapa sana week kama tatu ,,,ni matapeli sana,,niliwapigia kwenye no zao walizotoa hapa,,kila ukipiga haipatikani.Ikipatikana au akipokea anakusikiliza ,,akishajua shida...
Mm nimeajiriwa mkoa mpya Geita pale DED kama Mwalimu. Nikataka kufungua akaunt ya mshahara NMB wakadai wanawateja wengi nibahatishe kungine ndipo nika submitt akaunt yangu ya CRDB. Tatizo linakuja...
In the dark basement of the cavernous Kariakoo market, dozens of traders gather at tiny makeshift stalls, arranging fruit and vegetables into neat piles. This part of the market has the least...
ni utaratibu ambao ulijiwekea kuongea na wananchi wako?ni ka njia ulikokaweka kuelezea mambo mbalimbali yanayolikumba taifa..alianza kwa mbwembwe mchakato wa kutoa hotuba kila mwisho wa mwezi...
Leo nimemwona mkurugenzi wa tanapa akielezezea ama kutuhimiza watanzania juu ya faida tuzipatazo kutokana na vifutio vya utalii tulivyo navyo paamoja na kuelezea malengo mpango wa TANAPA kukuza...
Mbunge: Mheshimiwa Spika, kabla sijachangia hoja nilikuwa na pendekezo moja tu, mnaonaje mngechagua na Kipaza Sauti Kimoja ili visaidiane na Spika? Maana hizi spika za sasa zimeharibu bunge...
tarehe 31/7/2012,wafanya kazi wa mgod wa dhahabu wa bulyanhulu walisita kuingia shimoni kwa hili mi nawapongeza,na pia wale walimu walio goma kuingia kazin pia nawapongeza kwani vilio vya wahanga...
Binafsi sielewi kwa nini ajira ni chungu kwa sasa:
Kodi anazolipa mwajiriwa ni kubwa kubwa mno kuliko watu wengine
Pensheni ni ya kulazimishana
Mishahara midogo
Kugoma sio haki tena
Foleni nayo...
kwakuwa sasa imekuwa ni system napendekeza na wananchi kuwa na mgomo usiokuwa na kikomo mpaka pale huduma muhimu za kibinadamu zitakapoboreshwa na kuturithisha ambazo ni sekta ya afya kila sehemu...
WARSAW, Poland - A Mitt Romney spokesman reprimanded reporters traveling with the candidate on his six-day foreign trip, telling them to "kiss my a**" after they shouted questions from behind a...
Baada ya bodi ya Tanesco kumsimamisha mkugenzi wa shirika hilo la umma kwa tuhuma za ufizadi Zitto Kabwa alijitokeza hadharani kupinga hatua hiyo, na tangu wakati huo vyombo vingi vya habari...
Wakuu leo tarehe 30-7-2012 tunamaliza mwezi wa pili ukaranati wa shimo hilo haujakamilika. Ukarabati huo ni kero kwani unasababisha foleni kubwa isiyo ya lazima!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.