Mkurabitambo
JF-Expert Member
- Feb 3, 2010
- 230
- 57
Habari wanaJF,niandike hoja hii kwa majonzi yakukumbuka hujuma za mafisadi juu ya TTCL,walianzisha kakampuni kao wakakaita CELTEL(natumai mnakumbuka).kwa kutumia rasilimali za TTCL wakajitanua na kuotesaha mizizi hatimae wakajiuza kwa ZAIN na yalioendelea wote tunajua,TTCL hawana chao na AIRTEL wanapasua mawimbi..
kwa kuwa waTanzania ni wasahaurifu watu wengine wakabuni kamradi pale TBC kenye sura na sifa kama zile za TTCL na celtel.mabadiliko haya ya analogia kwenda digital yamemzaa STARTIMES.sifa na mkataba wa TBC na STARTIMES zinafanana kabisa na ule wa TTCL..
hoja yangu ni kwamba tunayapeleka wapi mashirika yetu?
RAMADHAN KARIM