Ombi kwa mwenyekiti wa makampuni ya IPP Media | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ombi kwa mwenyekiti wa makampuni ya IPP Media

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by issa laino, Aug 2, 2012.

 1. i

  issa laino New Member

  #1
  Aug 2, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wasaidie wapiga picha wako wa ITV mikoani hata kajiposho, hii niaibu kwako wewe wamekuwa wakitegemea vijiposho vya mikutano, imefikia hata sasa wengine kushindwa kulipa hata kodi ya nyumba lakini naamini wewe ni mtu mwenye huruma wasaidie hawa vijana kwani niwachapakazi hawana shida.
   
Loading...