Mwakyembe: Mamlaka yake yanaishia Tumbe! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwakyembe: Mamlaka yake yanaishia Tumbe!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Job K, Aug 2, 2012.

 1. Job K

  Job K JF-Expert Member

  #1
  Aug 2, 2012
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 6,824
  Likes Received: 2,765
  Trophy Points: 280
  Wakuu hii imekaaje?

  Nimelisikia Jembe linalalamika kwamba halina mamlaka na madaraka na mambo ya uchukuzi kule visiwani. Hivi hii Wizara ni ya Muungano au kila nchi ni mwake? Ndo maana jamaa amesema hawezi kujiuzulu kwa sababu Zanzibar walibadilisha sheria. Sasa huu Muungano una maana gani?
   
 2. Globu

  Globu JF-Expert Member

  #2
  Aug 2, 2012
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 7,975
  Likes Received: 175
  Trophy Points: 160
  Mkuu badili heading, sio Tumbe ni CHUMBE.
   
Loading...