Kitaeleweka
JF-Expert Member
- Jul 30, 2012
- 394
- 88
Najina ya watu walioomba nafasi za sensa majina yao yamebandikwa leo sehemu mbalimbali ninataarifa za mpwapwa huku walimu wamepata wachache sana esp wa sekondari sijui ndo tunakomolewa na mgomo au wameamua tu mimi binafsi na wenzangu wa5 hakuna aliyeona jina lake na walisema hizi ni nafasi za walimu zikibaki ndo wengine watachukuliwa sasa mbona imekua tofauti?
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums