Tanzania ni miongoni mwa nchi teule tatu zilizobahatika kupata msaada wa kilimo katika mpango African food security. Sasa njaa itakwisha na mipango ikienda vizuri tutakuwa na uwezo wa kuzalisha...
Kwa hotuba ya jana wapendwa
nahisi ni ngumu kwa serikali hii yenu iliomadarakani kuacha kuendelea kuiba
kwa njia ya rushwa...nasema hivi kwa masikitiko kuona kauli ya mh rais
akitamka hadharani...
wabunge wamechoka kukaa Dodoma katika kipindi hiki cha mkutano wa bajeti. hawataki yu kusema kuwa wamechoka mazingira ya mji huo na hata shughuli za bunge kwa kuwa bado wanazitamani posho nono...
Nimemuona mtu kama mbunge wa simanjiro Bw Sendeka akitoka uwanja wa ndege arusha akiwa ktk gari la chama cha mapinduzi mkoa AINA YA GX LA KIJANI AMBALO HUWA LINATUMIWA NA KATIBU WA MKOA ambapo...
Member of Parliament CV
GENERAL
Salutation
Honourable
Member picture
First Name:
Munde
Middle Name:
Abdallah
Last Name:
Tambwe
Member Type:
Special Seat
Constituent:
No...
...jana nilikomaa kuitaka serikali ilete mbeya mjini ambulances tatu,moja kwa ajili ya hospitali ya rufaa,ya pili kwa ajili ya hospitali ya wazazi meta na nyingine ya standby iwapo mgonjwa...
Kwa muda mrefu watanzania tumekuwa na tabia ya kusifu uovu unapofanyika.... sasa imekwenda hadi makazini. mtu akiajiriwa serikalini kwenye nafasi yoyote yenye mianya ya kuiba au kufisadi bila...
Leo ,dogo hapa home kaniacha mdomo wazi,
nafika anasema PIPOZ PAWA, ana umri wa mwaka 1 na nusu tu
anasoma vidudu/day care, nahisi mwalimu wao anawafundisha itikadi za chadema.
hii imenikumbusha...
mwezi huu wa nane hautaisha utasikia kufukuzwa kazi kwa mtu au watu, hivyo basi nawa asa ndugu zngu kuchapa kazi kwa bidii na kuonyesha uaminifu na uadilifu, habar hizi utazipa ktk radio tv...
Gari ya abiria Summry ambayo ilikuwa inatoka Kigoma kwenda Dar leo imepata ajali mbaya maeneo ya Kifura karibu na makao makuu ya Wilaya ya Kibondo, bus hilo limegongana uso kwa uso na gari aina ya...
By Florian Kaijage | 28th July 2012
When politicians, notably Members of Parliament, wanted electricity at any cost – and threatened to block the budget estimates of the...
Akitaja maeneo yaliyotengwa na serikali kwa ajili ya kutolewa leseni za kuchimba mchanga, Magayane alibainisha kuwa ni pamoja na Vianzi, Kisemvule, Mwandilatu na Homboza katika wilaya ya Mkuranga...
HABARI kuhusu uteuzi wa dkt. Wilbard Lorry aliyeteuliwa kuwa mshauri wa Rais masuala ya lishe kama ilivyo tolewa kupitia mtandao wa jamii forum tarehe 19/7/2012 ni PROPAGANDA zinazofanywa na...
Wadau,
Kwa kuwa serikali kupitia waziri wa fedha imeruhusu mtu kusajiri namba ya gari anayoipenda na atalipia shilingi milioni 5 kwa miaka mitatu, napendekeza gari la mwenyekiti wa CHADEMA...
Wana jamii forum nimekuwa nijiuliza maswali yafuatayo na mstakabali mzima wa maendeleo yetu ya nchi. Ukweli ni kwamba kama mashirika ya umma yana ufisadi mkubwa kiasi hiki uchumi wa nchi...
Kwa wale wanaopenda kuangalia Kipindi cha CLOUDS TV Kiitwacho TAKE ONE. Nadhani Mtakumbuka wiki iliyopita Kuna Binti alienda Clouds TV akatoa Matatizo yake lukuki Mpaka Na Machozi Juu mpaka...
Kufuatia uzandiki huu kwa MwanaHalisi, ninawashauri wanahabari wazalendo wa Taifa hili wamlinde Kubenea na gazeti lake kwa kugoma kuandika mazuri yote ya Serikali kwani serikali inaingilia uhuru...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.