Tetesi madaktari kuzimua mgomo wao

:flypig::A S 465:madaktari+walimu................. :sleepy:dhaifu..................:israel:NSSF............:eek2:TUCTA.
 
Nchi masikini ya pili kutoka chini na bado tunamuda kibao wa kugoma huku tunataka tuendelee, Labda mbingu zishuke ndo bongo itaendelea.

Hatuwezi kwendelea wakati kunawalafi,wazandiki na mafisadi wanao kula nguvu zetu pasipo huruma.hadikieleweke.
 
Unataka nini? Tufanye kazi zisizo na maslahi ndizo ambazo zitaleta maendeleo? Unatumika vibaya.

Ni kweli kuwa mishahara ya wafanyakazi walio wengi ni midogo sana kumudu mahitaji muhimu ya binadamu. Lakini tuangalie chanzo ni nini? how can we move forward? je kulalamika kwenye mitandao is a solution? kwa nini tusiombe jukwaa tukayazungumza wakiwepo watendaji wakuu wa serikali? tujaribu kuangalia njia mbadala ya kurekebisha hali. Mawazo yetu yatasaidia. Lakini kwa halli ya sasa ilivyo ya uchumi mishahara mikubwa haitawezekana na huo ndio ukweli. Ingawaje vitu vinaweza kufanyika mambo yakawa mazuri. PIa tusipende ku generalize issues. Sio wote walioko CCM ni wabaya na sio wote walioko upinzani ni wazuri huo ndio ukweli. Watanzania bado tuna ubinafsi mkubwa na hiyo inachangiwa na sera za nchi yetu.
 
Kipindi cha mfungo si ndicho ambacho DHAIFU huwa anaanguka!, akisikia hivyo lazi asalimu ardhi. yangu macho.
 
Ni kweli kuwa mishahara ya wafanyakazi walio wengi ni midogo sana kumudu mahitaji muhimu ya binadamu. Lakini tuangalie chanzo ni nini? how can we move forward? je kulalamika kwenye mitandao is a solution? kwa nini tusiombe jukwaa tukayazungumza wakiwepo watendaji wakuu wa serikali? tujaribu kuangalia njia mbadala ya kurekebisha hali. Mawazo yetu yatasaidia. Lakini kwa halli ya sasa ilivyo ya uchumi mishahara mikubwa haitawezekana na huo ndio ukweli. Ingawaje vitu vinaweza kufanyika mambo yakawa mazuri. PIa tusipende ku generalize issues. Sio wote walioko CCM ni wabaya na sio wote walioko upinzani ni wazuri huo ndio ukweli. Watanzania bado tuna ubinafsi mkubwa na hiyo inachangiwa na sera za nchi yetu.

Jamiiforum ni jukwaa tosha. Na usidanganyike hao watendaji wakuu wa serikali wanatembelea humu kwenye hili jukwaa kwa sana kusikia kinachoongelewa.
 
Ni kweli kuwa mishahara ya wafanyakazi walio wengi ni midogo sana kumudu mahitaji muhimu ya binadamu. Lakini tuangalie chanzo ni nini? how can we move forward? je kulalamika kwenye mitandao is a solution? kwa nini tusiombe jukwaa tukayazungumza wakiwepo watendaji wakuu wa serikali? tujaribu kuangalia njia mbadala ya kurekebisha hali. Mawazo yetu yatasaidia. Lakini kwa halli ya sasa ilivyo ya uchumi mishahara mikubwa haitawezekana na huo ndio ukweli. Ingawaje vitu vinaweza kufanyika mambo yakawa mazuri. PIa tusipende ku generalize issues. Sio wote walioko CCM ni wabaya na sio wote walioko upinzani ni wazuri huo ndio ukweli. Watanzania bado tuna ubinafsi mkubwa na hiyo inachangiwa na sera za nchi yetu.
Dada debor. Wewe ni mgeni hapa Tanzania au unataka kutwambia kuwa zile tume ambazo huwa zinaundwa na kutumia kodi zetu tunazokatwa kwenye mishahara yetu midogo na katika matumizi yetu ya kila siku kwenye kidogo kinacho salia baada ya PAYEE na MICHANGO YAMIFUKO YA HIFADHI (ambayo nayo wanataka kuiweka matumboni mwao) hazikufanya kazi ya kutosha?.
Je kama walifanyakazi yao, matokeo yake ni nini?.
Wewe unataka jukwaa lipi?. Tukutane Ikulu, Bungeni, uwanja wa taifa au wapi?
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom