Kipanya apata TUZO

Bajabiri

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
9,730
1,201
Mchoraji wa katuni za kipanya kwenye gazeti la mwananchi MASOUD KIPANYA ametunukiwa tuzo ya vitendea kazi ambayo amezawadiwa na kampuni ya simu za mkononi ya VODACOM,ambapo kipanya amepata tuzo hiyo kwa kutumia mitandao mbalimbali ya kijamii kuelimisha umma kwa katuni hizo.
Sosi:mwananchi la leo tar 31 julai
 
Hongera sana Masoud Kipanya. You are not biased or in favor of any group in your communications! You speak what you see is right.
 
Tukumbuke kuwa alikataa tuzo za katuni bora zilizoandaliwa sijui na akina nani?????
 
hongera sana masoud. nitafurahi zaidi ukimchora Invisible na mama yoyo wake wakiwa wanacheza game kwenye komputa za mapajani zao. Mia
 
Last edited by a moderator:
Masudi Kipanya kapewa zawadi na Vodacom, je Maxence na Mike McKee wa JF wamepewa zawadi gani? maana Vodacom nao wamei recognise JF kama Local Digital Media
 
Sasa kama ni hivo mbona hakupata tuzo alizotoa mheshimiwa Dr Kikwete kipindi kile cha kuwapa tuzo wandishi na wanahabari mahiri in maana Vodacom wao wamemshindanisha nani mpaka wapate ubora wake
 
Masoud ana deserve hiyo tuzo! Jamaa si mlamba viatu vya magamba kama stephen wassira!
 
Hongereni na kazeni buti kuelemisha jamii hii ya kitanzania ambayo mabadiliko kwao inaonekana yatachelewa zaidi miaka 50 ijayo
 
Kipanya huwa namkubali sana anapeleka ujumbe Direct tofauti na wengine walivyo waoga
 
Ila sometimes huwa nahofia wanaweza wakam'mambwe pande maana huwa anagusa ukweli wa ndani kabisa.
 
hongera kaka. maana vipaji huwa havigandmiziki....fm walidhani hutotoboa wewe huwezekani
good job.
 
Back
Top Bottom