Tuwafanyie kama tunavyowafanyia Vibaka... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tuwafanyie kama tunavyowafanyia Vibaka...

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Lord K, Aug 2, 2012.

 1. Lord K

  Lord K JF-Expert Member

  #1
  Aug 2, 2012
  Joined: Feb 17, 2012
  Messages: 213
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Ndugu zangu,kama mtu akipora simu tunamshambulia kwa nawe,marungu na hata kumchoma moto kwa Sababu ya hasira na kutokuwa na imani na jeshi la polisi...naomba tuungane katika kampeni hii,kila anayejulikana kama fisadi tusimuonee haya wala huruma.hivi tunashindwa nini kuwapiga mawe hawa au tunawaogopa? Hatuna imani na Polisi wala Mahakama sasa tunasubiri hawa watu wawajibishwe kwa njiaipi? Tuwaangamize hawa watu kwa mikono yetu wenyewe.... kama tunavyo wapunguza vibaka.

  Nawasilisha.
   
Loading...