Sensa na vitambulisho vya urai | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sensa na vitambulisho vya urai

Discussion in 'Jamii Intelligence' started by DCM, Jul 31, 2012.

 1. D

  DCM Senior Member

  #1
  Jul 31, 2012
  Joined: Apr 13, 2012
  Messages: 165
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 45
  Hivi kupitia vitambulisho vya urai huwezi kujua idadi ya watu wako katika nchi?Kuna sababu gani ya vyote kufanyika ktk mwaka mmoja?
   
 2. k

  katunzii Member

  #2
  Jul 31, 2012
  Joined: Aug 14, 2011
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mimi kama mimi siono sababu ya kutumia pesa nyingi kwenye sensa, wakati kwa kupitia vitambulisho vya urai,serikali inaweza kujua idadi ya watanzania kwa ujumla. Wakati hiyo pesa ingewezakutumika kwenye idara nyingine kwa maendeleo ya taifa.
   
 3. Makala Jr

  Makala Jr JF-Expert Member

  #3
  Jul 31, 2012
  Joined: Aug 25, 2011
  Messages: 3,397
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Huenda kuna namna walivyotathmini na kuona vifanyike vyote. Binafsi sioni haja ya kufanya hayo yote!
   
 4. Riwa

  Riwa JF-Expert Member

  #4
  Jul 31, 2012
  Joined: Oct 11, 2007
  Messages: 2,601
  Likes Received: 232
  Trophy Points: 160
  Vitambulisho vya uraia ni kuanzia miaka 18...sio waTanzania wote wana miaka 18 au zaidi!
   
 5. z

  zwangendaba New Member

  #5
  Jul 31, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hilo ni wazo zuri mkuu, ingawa maswali au taarifa zinazo hitajika katika sensa zinaweza kuwa tofauti na zile za vitambulisho vya taifa.
   
 6. Opaque

  Opaque JF-Expert Member

  #6
  Jul 31, 2012
  Joined: Oct 24, 2008
  Messages: 1,138
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Kama hela zipo, acheni vyote vifanyike separately tuliosoma tupate allowance kujazia salary
   
 7. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #7
  Jul 31, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,294
  Likes Received: 22,072
  Trophy Points: 280
  Jamaa karudi home usiku wa manane.Moja kwa
  moja akazama chumbani,akafunua blanketi,akaiona
  miguu minne badala ya miwili aliyozoea.Jamaa
  akafunika blanketi taaratibu,akachukua bonge la
  rungu,akaitwanga ile miguu kwa nguvu zote halafu
  akaelekea sebuleni kutuliza hasira.Kutahamaki
  akamkuta mkewe amejipumzisha sebuleni.Mkewe
  akamwambia:Wazazi wako wamekuja leo
  kututembelea,nimewaachia chumba chetu
  walale,sisi tutafanya maarifa mengine."
   
 8. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #8
  Jul 31, 2012
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,971
  Likes Received: 6,601
  Trophy Points: 280
  hakuna kitu kinacho fanywa na serikali ya ccm perfect. Mda si mrefu tutaanza kukusanya kero za vitambulisho. mia
   
 9. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #9
  Jul 31, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,469
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Vitambulisho ni kwa walio na umri zaidi ya miaka 18, sensa inawahusu wote bila kujali umri.
   
 10. m

  mzawahalisi JF-Expert Member

  #10
  Jul 31, 2012
  Joined: Jan 11, 2010
  Messages: 744
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 45
  Hahahahaaaaaaaa u made ma evening.
   
 11. ijoz

  ijoz JF-Expert Member

  #11
  Jul 31, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 663
  Likes Received: 373
  Trophy Points: 80
  Ni kweli vitambulisho ni kuanzia 18ers kupanda lakini sensa ni kwa watu wote.
  Pia sensa inakusanya takwimu nyingi zaid mfano idadi ya vifo within five yrs and twelve months. Isitoshe takwimu nyingine kama shughuli za uchumi,takwimu za uzazi,kiwango cha elimu na takwimu nyingi zaidi ambazo hazipatikani kwny national IDs.
   
 12. M

  Makwarukwaru Member

  #12
  Aug 2, 2012
  Joined: Mar 10, 2012
  Messages: 66
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Nadhani ipo haja vyote kufanyika kama wachangiaji wengine walivyosema hapo juu. Tatizo nadhani ni mfumo unaotumika katika kufanikisha vyote viwili. Mfano vitambulisho vua utaifa ni adhabu kuamka saa 9 usiku kama kile kipindi cha maduka ya ushirika kuwahi foleni.
   
Loading...