Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

"SAMAHANI HUJAUNGANISHWA NA HUDUMA YA EXTREME PACK" Hii ni moja ya mambo yanayonishawishi kuihama tiGO. Ts a hell of sms just been sent by some creepy electronic systems of this kampuni. I wonder...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hivi hawa madereva wa magari ya serikali wanajiona wapo juu ya sheria, maana leo tumepanga folen ya pantoni limekuja hili gari limejipenyeza mbele kabisa, alivyo sio mstaarabu hata kuomba, matokeo...
0 Reactions
0 Replies
870 Views
Dar es Salaam: Africa's next megacity? By Joe Boyle BBC News, Dar es Salaam...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Wana JF. Embu tujadili kidogo kuhusu watu hawa endapo watapewa dhamana na vyama vyao kugombea urais 2015 utampa nani kura yako na kwanini? 1. CDM zito Kabwe 2. CCM Lowasa 3. CUF Lipumba...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Wadau naomba msaada jana nimeweka vocha kwenye number yangu ya tigo mara mbili na ikawa inaisha bila mimi kupiga simu ....hawa tigo ni wezi au ni mauzauza yalinitokea?
0 Reactions
6 Replies
1K Views
1. a/ Tanzania ni tajiri kwa Wabunge, Mawaziri na wateule wote wa rais tu? b/Tanzania ni maskini kwa walimu na watumishi wengine wa ngazi za chini tu? Naomba kusaidiwa.
0 Reactions
10 Replies
2K Views
nasikia wapo hosptal hoi bin taabani mwenye habari kamili?
0 Reactions
0 Replies
919 Views
Serikali ya Tanzania imeendeleza upuzi kufuatia ajali za Ferry an vyombo vingine vya majini. Mv Skagit vessel was not allowed to sail more than 20 miles from the harbour for safe refuge yet the...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
"Mimi sioni kama gazeti la Mwanahalisi linaandika habari za uchochezi kama zinavyo daiwa lakini hiyo ni njama ya mtu ambaye analengo la kutaka kuwafunga mdomo waandishi wa habari ili wasieleze...
3 Reactions
13 Replies
2K Views
Mwanamke aliefahamika kwa jina la Monika Mapoli (22), mkazi wa kijiji cha isima wilayani Geita, amekutwa amejinyonga juzi kwa kutumia kipande cha nguo karibu na Ofisi ya Mganga mkuu Wilaya ya...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Mna uwezo wa kuleta mabadiliko 2015. huko mlipo vijijini kila mmoja wenu akipata nyumba 100 kuanzia leo akapata kura zake kwa chama kitakachoonekana kujali maslahi yenu, then ukombozi tayari...
0 Reactions
1 Replies
902 Views
Kutokana na Serikali ya CCM kutumia mahakama kama chombo cha kuwanyima madaktari,walimu pamoja na watumish wote kwa pamoja kudai haki zao za msingi pamoja na mazingira mazuri ya kufanyia kazi. Ni...
2 Reactions
27 Replies
3K Views
mwezi wa 3 tanapa walitangaza baadhi ya nafasi za kazi, cha kushangaza nafasi ni chache wanaoitwa lukuki.kwa mfano wanataka watu 16 wanaitwa kwenye usahili watu 234, uwiano upo wapi? au ndo formality?
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Zoezi la kumpata Karani mwandamizi na Karani wa Sensa limevamiwa na wahuni. Watendaji wa Kata wanachagua kwa RUSHWA ya shulling 20,000/= . Wanachagua wale wa darasa la saba au yeyote ilimradi...
1 Reactions
37 Replies
4K Views
The telephone text is circulating in supersonic speed to the direct and in affected member of new Social security reform act. The text saying “Sheria mpya ya mafao ni ya kinyonyaji na kifisadi...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
SAKATA la tuhuma za ufisadi bungeni limeingia katika hatua mpya, baada ya Spika wa Bunge, Anne Makinda kuamua kuunda Kamati ndogo ya watu watano kuchunguza tuhuma za baadhi ya wabunge...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Sio pozi tu, bali anamaanisha. Miaka 10 ijayo atakuwa mpiga kura huyu. Waalimu msaidieni abaki kuwa mwana mapinduzi.
0 Reactions
1 Replies
917 Views
CWT Sasa sijui mlijiandaa kwa lolote litakalotokea Au ndo alimradi upepomuvume. Ilipeni Serikali sasa
0 Reactions
11 Replies
2K Views
wadu angalieni star tv jinsi waziri na kamanda wanavyojadili mgomo wa waalimu nawasilisha.
0 Reactions
13 Replies
2K Views
jioni njema jamani msiache kufunga kareem hii ni kwa makobe wote wenyemapenzi mema
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Back
Top Bottom