Magazeti Yasusia Maonyesho ya Wakulima (Nane Nane) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Magazeti Yasusia Maonyesho ya Wakulima (Nane Nane)

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by tatanyengo, Aug 2, 2012.

 1. tatanyengo

  tatanyengo JF-Expert Member

  #1
  Aug 2, 2012
  Joined: Mar 30, 2011
  Messages: 1,140
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Maonyesho ya kilimo Al maarufu Nane Nane kitaifa yalifunguliwa jana huko Dodoma na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, na yale ya kanda ya Mashariki yalifunguliwa na Waziri Mkuu. Sisi wakulima pamoja na wadau wengine wa kilimo tulitarajia kusikia yale yaliyosemwa na viongozi hao wa kitaifa kuhusu kilimo yakiandikwa kwenye magazeti lakini hilo halikutokea. Matokeo yake ni kusikia habari za Mwandosya kuliteka Bunge nk

  Katika hali kama hiyo pengine tuna safari ndefu kuhusu utekelezaji wa sera ya Kilimo Kwanza au ndiyo kusema habari za kilimo haziuziki?
   
 2. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #2
  Aug 2, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,122
  Likes Received: 6,608
  Trophy Points: 280
  wapo kwenye mambolezo ya MWANAHALISI.
   
 3. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #3
  Aug 2, 2012
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,223
  Likes Received: 1,412
  Trophy Points: 280
  hata mimi nadhani,but, mbona magazeti hayajaandika juu ya hili pia?,
   
 4. S

  Sometimes JF-Expert Member

  #4
  Aug 2, 2012
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 4,567
  Likes Received: 361
  Trophy Points: 180
  Hata gazeti la Mkulima wa Kisasa halijaandika?
   
 5. m

  mamajack JF-Expert Member

  #5
  Aug 2, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 1,162
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  hayana tija kwa watanzania maana 98% ni uongo,
   
 6. KakaJambazi

  KakaJambazi JF-Expert Member

  #6
  Aug 2, 2012
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 15,030
  Likes Received: 3,231
  Trophy Points: 280
  Wakulima huwa hawasomi magazeti.
   
 7. Kimbori

  Kimbori JF-Expert Member

  #7
  Aug 2, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 2,739
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  Kumbe nane nane imefika? Kilimo ni uti wa mgongo wa Taifa ila.....
   
Loading...