Tarehe 33 july na bado serikali haijatoa mishahara. (Zilongwa mbali, zitendwa mbali) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tarehe 33 july na bado serikali haijatoa mishahara. (Zilongwa mbali, zitendwa mbali)

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kitaeleweka, Aug 2, 2012.

 1. Kitaeleweka

  Kitaeleweka JF-Expert Member

  #1
  Aug 2, 2012
  Joined: Jul 30, 2012
  Messages: 393
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Serikali ya kikwete inachoongea na kutenda ni vitu viwili tofauti yee mwenyewe jana kaongea kizaramo kuthibitisha hilo kwani mpaka leo tarehe 2 august salary bado kwa watumishi wake japo alisema haitazidi tarehe23 leo ni 10days ahead of his own promise. Wadanganyika kweli tupo?

  Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
   
 2. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #2
  Aug 2, 2012
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,312
  Likes Received: 5,600
  Trophy Points: 280
  Ameshaomba NSSF/PPF wamkopeshe!!anasubiri apewe ndio alipe mishahara
   
 3. m

  mhondo JF-Expert Member

  #3
  Aug 2, 2012
  Joined: Apr 23, 2011
  Messages: 970
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  Itakua wanakokotoa mishahara mipya.
   
 4. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #4
  Aug 2, 2012
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  ....kama sio hivyo basi itakuwa wanafanya maboresho ili watu wawe wanalipwa kwa muda mwafaka zaidi. Actually ni upepo tuu.
   
 5. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #5
  Aug 2, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Liwalo na liwe
   
 6. P

  Prince Hope JF-Expert Member

  #6
  Aug 2, 2012
  Joined: Jul 21, 2012
  Messages: 2,167
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Kinywa chake huwa kinatiririsha asali! Kila asemalo, aaaaaaaaaaaaaa watu wanaingia line.
   
 7. Mshuza2

  Mshuza2 JF-Expert Member

  #7
  Aug 2, 2012
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 4,092
  Likes Received: 1,713
  Trophy Points: 280
  Mkuu mpwapwa hawajambo?
   
 8. Mtumishi Mkuu

  Mtumishi Mkuu JF-Expert Member

  #8
  Aug 2, 2012
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 260
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Ni nani amewapa ruhusa ya kujadili ishu ambayo iko mahakamani? Iiachieni mahakama msiingilie pls!
   
 9. m

  mkupuo JF-Expert Member

  #9
  Aug 2, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 1,239
  Likes Received: 392
  Trophy Points: 180
  Yaani mkuu kwa mchongo wa julai 2012 kuchelewa kumenitia hasira sana hadi nimeamua kuachana nao kabisa hata wakiutoa.Kama unabisha waambie basi wautoe sasaiv uone kama nitaenda kuuchukua.Siendi ng'o!
   
Loading...