Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kunakituo kimoja cha runinga kinanishangaza sana hasa kwa wafanyakazi wake kutokua na vitendea kazi nikimanisha kuazia ofisi na vitendea kazi vingine kama kamera za kisasa na mambo mengine,hebu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Majambazi ya mevamia kituo cha Total Mlimani city na kuwalewesha walizi na kuiba vitu ambavyo haijajulikana. Walinzi walileweshwa madawa ya kulevya na hali zao zipo hoi; wamekimbizwa hospital...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Boniface Meena, Dodoma, Kelvin Mtandiko, Dar WAZIRI wa Uchukuzi, Dk Harrison Mwakyembe amesema hawezi kujiuzulu kutokana na ajali ya Mv Skagit kwa sababu hahusiki na suala hilo. Pia, amesema...
0 Reactions
0 Replies
997 Views
MTANDAO wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania(THRDs), wamepinga kufungiwa kwa gazeti la Mwanahalisi huku wakiitaka Serikali kuacha kutumia Sheria ya Magazeti ya mwaka 1976 kwa lengo la...
0 Reactions
0 Replies
995 Views
mwanamke mmoja amejinyonga jiran na ofisi ya mganga wa hospitali ya wilaya ya geita baada ya mwanae kufikishwa hospitali na kushindwa kupewa huduma stahik na hvo kupelekea mwanae kufariki-source...
0 Reactions
0 Replies
806 Views
Watetezi wa haki za Binadamu chini ya Mwamvuli wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDs),1 kwa ushirikiano na wadau wengine tunapinga vikali kufungiwa kwa gazeti la...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu habari za pilika za mchana kutwa . Leo mchana nimepigiwa simu kwa no. Ya zain nilipoipokea sauti ni ya kike ikinishawishi ninunue miziki kwa akupigiae, nikakata sim cha ajabu ikaja meseji...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
ongeza mchango wako: hivi ndivyo inavyoandikwa"tanzania"kwa kichina:坦桑尼亚 na jamiiforums kwa kichina inaandikwa hivi:绪 na ujinga ndio tatizo inaandikwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
watanzania wanaomiliki magari na watumiaji wa wafuta kwa ujumla mnatakiwa kununua mafuta ya kutosha maana kuna uwezekano yakapotea kwa muda usiojulikana....mjulishe na mwenzako.
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Watanzania tumekuwa watu wa kulalamikia pesa kila siku lakini ukweli ni kwamba pesa hatuna na ni wakati wa kufikiria pesa ifanye nini kwa jamii na iende wapi. Mfano nilimsikia Zitto akisema walimu...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Katika kile kinachoendelea kwasasa kwenye sakata la mgombea Urais 2015, kampuni ya simu za mikononi ya husika katika maandalizi hayo yenye Lengo la kumsimamisha mgombea Binafsi ama Mgombea huyo...
2 Reactions
60 Replies
7K Views
Habari za majukumu jamani kuna wizi wa kwenye mtandaoni tuwe makini tusije kumbwa na kudondokea kwenye huo mkenge uko hivi Inatokea unakuwa na urafiki na mtu wa kawaida mnakuwa mnachati...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Bruce Rastetter,the CEO of AgriSol Energy and his colleagues came to the newspaper recently to rebut criticisms that the corporation, of which he is 30 percent shareholder and managing director...
0 Reactions
1 Replies
864 Views
Kwa taarifa za hivi karibuni ni kwamba halmshauri ya wilaya mbalali mambo si mambo tena kwani lile diri la kutumia zaidi ya shs bilion mbili za miradi kwa kugharimia posho limegeuka kuwa dirisha...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wana JF, Nilipata habari ya maendeleo ya afya ya Dr Ulimboka kupitia gazeti la mwanahalisi toleo la mwisho la wiki iliyopita (kabla halijafungiwa) kuwa anaendela vizuri na yuko karibu kurejea...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Kampuni ya African Barrick Gold imeusimamisha mgodi wake wa Bulyanhulu kwa masaa 48, kuanzia jioni ya August 1st. Uongozi wa Bulyanhulu umechukuwa uamuzi huo jioni hii baada ya mgomo wa siku mbili...
4 Reactions
27 Replies
4K Views
Poleni na majukumu ndugu zangu. Naomba kujua, je sisi watu tusiokaa mahali pamoja muda mrefu (kama wanafunzi, wafanyabiashara wa kimataifa n.k) tutawezaje kupata vitambulisho vya utaifa. Kwa...
0 Reactions
0 Replies
890 Views
Katika kufanya uchambuzi wa usimamizi na uendeshaji wa mashirika na taasisi za umma nimegundua kuwa bodi hizo hazifanyi kazi kama inavyotakiwa bali bodi hizo zimegeuka kuwa magenge ya wezi na...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Ndugu wana jamii, Juzi nilienda kulipia road licence ya gari langu, cha kushangaza nikaambiwa nilipie na fire extinguisher Tzs 35,000 cha ajabu nilipatiwa sticker pasipo kuwa na mtungi, kwanza...
1 Reactions
16 Replies
3K Views
MALENGO YA UJIO 1. To swipe at China, which eclipsed the US as Africa's biggest trading partner three years ago. 2. To stand up for democracy and universal human rights even when it might be...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Back
Top Bottom