Meli kongwe ziwa Tanganyika | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Meli kongwe ziwa Tanganyika

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Fuata upepo, Aug 1, 2012.

 1. F

  Fuata upepo Member

  #1
  Aug 1, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 22
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kuna meli inayofanya shughuli za usafirishaji WA abiria ktk ziwa Tanganyika tangu Enzi za mjerumani. ILA mi napata wasiwasi WA kuendelea kujivunia na history hii. I think this is not safe kwani bado hata kipindi cha maombolezo hakijapita. walio kiunda muda huu wangekuwa wanesha ki dump. kazi kwenu vyombo husika.
   
 2. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #2
  Aug 1, 2012
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,607
  Likes Received: 6,199
  Trophy Points: 280
  Kuna Episode moja ya kipindi cha "Pole to Pole" ya Michael Palin, anaonyesha alivyosafiri kutoka North Pole mpaka South Pole, akapitia Lake Tanganyika, nafikiri hiyo meli ni MV Liemba, wanaionyesha mpaka jinsi inavyopandisha watu kiholela, ilivyochoka, it is a disaster in waiting to say the least.
   
 3. Jeji

  Jeji JF-Expert Member

  #3
  Aug 2, 2012
  Joined: Jun 28, 2011
  Messages: 1,981
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  wanasubiri kuja kutoa salamu za rambirambi.
   
Loading...