Tumechoka na zawadi ya mipira na Jezi, tunataka mtatue kero zetu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tumechoka na zawadi ya mipira na Jezi, tunataka mtatue kero zetu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Whisper, Aug 24, 2012.

 1. Whisper

  Whisper JF-Expert Member

  #1
  Aug 24, 2012
  Joined: Jun 2, 2009
  Messages: 502
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Imekua ni tabia ya wabunge wengi siku hizi kutoa mipira na Jezi kwa vijana wa majimbo yao na kuanzisha ligi zenye majina yao kwa lengo la kujitangaza. Kwa bahati mbaya sana mipira hii na jezi ni low low low quality from China. Waheshimiwa, tunaomba mtatue kero zetu na hayo mengine tutafanya wenyewe. Ni viwanja vipi mlivyojenga mpaka mtuletee jezi na mipira? Vile mlivyotaifisha tu vimewashinda siku hizi tunachungia mbuzi.

  Nashauri huu utaratibu ukome kwani hiki ni kizazi kingine. Tujengeeni mabweni, madarasa, majosho nk.
   
 2. Wamunzengo

  Wamunzengo JF-Expert Member

  #2
  Aug 24, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 810
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 60
  kwa kweli wanakera, ila ngoja tu, maana dawa yao tulishaipata, tunawasubiri tu waingie kwenye kumi na nane zetu tuwanyoe. tumeshawachoka. waende wakawadanganye wanawake huko na pakiti za sukari na chumvi.
   
 3. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #3
  Aug 24, 2012
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,483
  Likes Received: 765
  Trophy Points: 280
  Wananchi msipojenga wenyewe mtamaliza wagombea, vyama. Hiyo ni kazi yenu.
   
Loading...