Kakende
JF-Expert Member
- Aug 18, 2012
- 2,741
- 1,231
Kuna wawekezaji wametoka brazil ili kuja kuwekeza katika kilimo Tanzania
Hivi watanzania tunaelekea wapi, madini tumeshindwa kuyachimba. Na hata kununua vifaa vya kisasa kulima mashamba makubwa ya umwagiliaji tumeshindwa hadi Serikali ya KIKWETE inakwenda kuwaambia wabrazil waje kutulimia huku?
Hivi kilimo nacho kinahitaji akili nyingi au ni swala la serikali kuwa serious na resource tulizonazo, tuna SOKOINE university na taasisi nyingi za utafiti wa kilimo lakini bado tunashindwa kulima wenyewe hadi tuwe KAMA ZIMBABWE? au Wabrazil wenyewe wanalimiwa na nani?