Niko safarini nitahesabiwa wapi sensa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Niko safarini nitahesabiwa wapi sensa?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by client3, Aug 24, 2012.

 1. client3

  client3 JF-Expert Member

  #1
  Aug 24, 2012
  Joined: Aug 6, 2007
  Messages: 742
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 45
  Makarani wa sensa watapita kila kiya na kuchukua takwimu za watu watakaokuwa wamelala hapo siku hiyo...swali langu je watu watakaokuwa mbali na nyumbani kwao hawatahesabiwa? mfano watakaokuwa safarini na wamelala kwenye nyumba za kulala wageni itakuwaje?
   
 2. b

  bob68 Member

  #2
  Aug 24, 2012
  Joined: Feb 4, 2012
  Messages: 35
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Watahesabiwa pia kwa dodoso maalum wala usihofu haachwi mtu
   
 3. S

  Sometimes JF-Expert Member

  #3
  Aug 24, 2012
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 4,567
  Likes Received: 360
  Trophy Points: 180
  Inasemekana wasafiri watahesabiwa guest, stendi za mabasi, viwanja vya ndege n.k.
   
 4. Root

  Root JF-Expert Member

  #4
  Aug 24, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 26,149
  Likes Received: 12,856
  Trophy Points: 280
  hii hata gari likikwama utahesabiwa hapo hapo kwani hii nchi hakuna kisichowezekana
   
 5. dwight

  dwight JF-Expert Member

  #5
  Aug 24, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 437
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Utahesabiwa utakapolala,na km utakuwa safarini,guest au hotelini utahesabiwa hukohuko!
   
Loading...