Watu wa Mbagala badilikeni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Watu wa Mbagala badilikeni

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kyenju, Aug 25, 2012.

 1. Kyenju

  Kyenju JF-Expert Member

  #1
  Aug 25, 2012
  Joined: Jun 16, 2012
  Messages: 4,573
  Likes Received: 274
  Trophy Points: 180
  Wakati serikali ikijitahidi kuboresha miundo mbinu na kuhamasisha wananchi katika eneo husika kuitunza, hii imekuwa tafauti hasa kwa wakaazi wa Mbagala rangi tatu, hasa kuanzia Zakhem mpaka rangitatu mwisho. Watu wameshindwa kutunza ile mitaro ya barabara ijejaa uchafu hata kile kipande cha barabara ambacho kimeongezwa kutoka maeneo ya benki ya AKIBA tayari mitaro yake imejaa takataka. Uchafu wote unaotokana na wafanya biashara ndogo ndogo ya usiku unamwagwa kwenye mitaro hiyo.

  Wito wangu naomba watu wabadilike waanze kuzingatia usafi.

  Isiwe tatizo kwetu Mbagara, mbele nyuma jalala.
   
 2. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #2
  Aug 25, 2012
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,479
  Likes Received: 760
  Trophy Points: 280
  Pia kingo za kutenganisha lane za barabara kuanzia Zakhem wamevunja, magari yanavuka popote yanapojisikia. Kiukweli watu wa Mbagala mjirekebishe.
   
 3. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #3
  Aug 25, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,867
  Likes Received: 6,219
  Trophy Points: 280
  hahaha raha ukiwa waelekea st marys, daladala zilivyopaki kizunguzungu kitupu, ila nashindwa kuelewa kwa nini stand wameiweka hapo, haitotatua tatizo!
   
 4. C

  CHUAKACHARA JF-Expert Member

  #4
  Aug 25, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 12,200
  Likes Received: 3,810
  Trophy Points: 280
  Uko sahihi kabisa! Hawa watu hawawezi badilika ni kuwawekea utawala wa mabavu _iron fist rule_ These are hopeless people. Nami ni kwangu lakini hakufai, sijui kwa nini- hivi ni watu kutoka wapi naliojaa kwa wingi huko. I guess and i stand to be corrected, ni watu kutoka kusini- Mwenye namba ya magufuli aweke humu tumweleze atafute njia za kulinda barabara hiii, itaharibika si muda kwa ruthless drivers wa mbagala.
   
Loading...