Wana Jamii Forums ni muda wetu sisi kuungana na kuipigia kura Tanzania

Nikiipigia kura Tz nitapata faida gani, au ndo yaleyale ya kisiwa cha amani na utulivu!
 
Usanii tu, kura haziongezi ukubwa crater wala wingi wa wanyama, kura haziongezi urefu wa mlima wala wingi wa theluji, kura hazileti wanyama wakuongeza misafara yao. Hivyo vyote tumepewa na Mungu hakuna mshenzi yeyote atakaye tuondolea iwe kwa kura au kunya.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom