Utawala wa JK,Baadhi ya Wanajeshi Tanzania kukosa mshahara wa mwezi July | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Utawala wa JK,Baadhi ya Wanajeshi Tanzania kukosa mshahara wa mwezi July

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Ruhazwe JR, Aug 21, 2012.

 1. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #1
  Aug 21, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Taarifa za kuaminika kutoka ndani ya JWTZ ni kwamba kuna askari wapata takriban 30% ya askari wote hawajapata mshahara wa mwezi july hasa wale walioko JKT.kwa mujibu wa taarifa zisizo ramsi,inasemekana kuwa sakata hili limekuja baada ya serikali kubadili mfumo wa kutokuwalipa mshahara in cash na kuanzisha mfumo ambao ni wakuwalipa kwa kupitia bank.

  Napata hofu huwenda serikali inashindwa sasa kuwalipa askari wake,hali ambayo inanipa kizunguzungu.Tumezoea migomo ya sekta mbalimbali sijui kama hawa wataweza kugoma na kama wakigoma je hatima yake itakuwa kama ile ya walimu?je wale wanao winda mipaka yetu hawatatumia mwanya huu kufanikisha adhima yao?.Nawasilisha
   
 2. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #2
  Aug 21, 2012
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,223
  Likes Received: 1,412
  Trophy Points: 280
  Mgomo wa wanajeshi hauna impact, hatuna maadui, wala impact yao haiwezi kufananishwa na impact ya mgomo wa walimu.
   
 3. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #3
  Aug 21, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  mmmh! Mkuu au kwa kuwa hawajawai kugoma?binafs sijawai sikia,lakini sipati picha kama wanagoma alafu wanakaa na mitambo yao yote barabarani.
  ila mkuu kauli yako itafakari mara mbili mbili,hauna impact?napata shda kwenye hii kauli yako aisee
   
 4. W

  Wajad JF-Expert Member

  #4
  Aug 21, 2012
  Joined: Jul 20, 2012
  Messages: 1,130
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 180
  Mgomo wao unaenda pamoja na kupindua serikali na nchi kutawaliwa kijeshi. Sijui kwanini huoni impact ya mgomo wao hapa!
   
 5. meningitis

  meningitis JF-Expert Member

  #5
  Aug 21, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 8,020
  Likes Received: 911
  Trophy Points: 280
  mkuu sijakupata vyema!tatizo la serikali ni kushindwa kulipa au askari kushindwa kuwasilisha namba za acct?
  Hebu funguka ndio nitoe maoni yangu.
   
 6. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #6
  Aug 21, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  tatizo ni serikali kushindwa kulipa,kwakua kuna baadhi wamepokelea bank,wengine waliendelea kupokea cash,ninao wazungumzia hapa ni wale ambao hawajapata iwe bank wala cash,na unaambiwa majibu yanayotolewa nimepesimepesi tu!upo hapo?usiwaone wanakatiza na magwanda hali ni mbaya,ni kwa kuwa hawalipi nauli kwenye daladala,had huruma yani
   
 7. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #7
  Aug 21, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  namshanga sana mkuu Gama !hajui kama wengine wakigoma amani hutoweka
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 8. M

  Moony JF-Expert Member

  #8
  Aug 21, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 1,593
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Sioni ubaya wa kulipa mishahara kupitia benki, kwanza huu utaratibu ni mzuri na salama zaidi.
  Tatizo ninaloliona nakushindwa kuweka mipango mkakati mzuri na hii ni katika sekta nyingi za serikali hii. Huwa wanakurupuka bila kuwa wame lay ground vizuri.

  Kwangu mimi nashauri kila mtu apewe mshahara wake kupitia benki, ni hatua ya maendeleo:A S thumbs_up:
   
 9. M

  Moony JF-Expert Member

  #9
  Aug 21, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 1,593
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Wajaribu kugoma ama kupindua nchi waone!!!!!!!

  Kiburi na fujo si jadi ya jeshi la kitanzania....Long Live Tanzania!!!!!
   
 10. Father of All

  Father of All JF-Expert Member

  #10
  Aug 21, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 3,093
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Source, reliable source please. Hata kama usemayo ni kweli jeshi la Tz ni la wanasiasa hasa wanachama wa magamba. Hivyo kupinduana ni jambo lisilowezekana. Nani anataka utawala wa wajeshi tena wanasiasa wa chama kile kile. Kama ni kweli heri nao waonje makali ya upuuzi wanaoulinda. Wao na polisi wanatumika kuzima harakati za ukombozi wa taifa kwa kutupiga na kutunyanyasa na mibomu ya machozi, mirungu, mitama na upuuzi mwingine. Well done aliyewanyima posho kama ni kweli.
   
 11. M

  Moony JF-Expert Member

  #11
  Aug 21, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 1,593
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135

  wewe umeshindwa nini? tumia akili jamani kabla hujachangia
   
 12. Aleyn

  Aleyn JF-Expert Member

  #12
  Aug 21, 2012
  Joined: Nov 12, 2011
  Messages: 10,228
  Likes Received: 13,680
  Trophy Points: 280
  mimi sijatumia akili sawa, ila sina uhakika kama unajua migomo ya jeshi inakuwaje.
   
 13. Z

  ZeMarcopolo JF-Expert Member

  #13
  Aug 21, 2012
  Joined: May 11, 2008
  Messages: 13,590
  Likes Received: 480
  Trophy Points: 180
  JF isitumiwe kutoa habari za uongo. Pesa ya mwanajeshi inaweza kuchelewa lakini haiwezi kupotea. Kama kuna mwanajeshi hajalipwa basi pesa zake zitaingia kwneye arrears na wanajeshi wenyewe wanajua jinsi ya kudai arrears zao.
   
 14. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #14
  Aug 22, 2012
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,223
  Likes Received: 1,412
  Trophy Points: 280
  bado sijaona facts za impact ukifananisha na sectors nyingine, nipe facts, kupindua serikali?!, mbado.
   
 15. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #15
  Aug 22, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  sasa hivi maisha yalivyo tanzania ni sawa tu na kama vile tunatawaliwa na wanajeshi, kwa sababu kila kitu siku hizi ni kibabe babe tuu
   
 16. Sigma

  Sigma JF-Expert Member

  #16
  Aug 22, 2012
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 5,014
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  out of focus
   
 17. Abunwasi

  Abunwasi JF-Expert Member

  #17
  Aug 22, 2012
  Joined: Jun 25, 2009
  Messages: 3,166
  Likes Received: 1,064
  Trophy Points: 280
  Wewe sema tuu unachotaka kutuambia lakini mimi nijuavyo traditionally mishahara ya miezi ya july huchelewa kutokana upitishaji wa bajeti wa wizara husika na bunge .
  Pili ili kuzuiwa 'ghost workers' malipo yote ya mishahara kwa wafanyakazi hupitia kwenye account zao [hivyo basi cheki ya mshahara ikichelewa kufika benki] na benki inataratibu zake [nyingine up to 48 hours ] sasa wasiwasi wako ni upi?????
  kama kugoma au kufanya fujo basi wangefanya hivyo katika kile kipindi kigumu cha uchumi ambapo hali ilikuwa mbaya sana wagome leo????? katika watanzania ambao mimi ninawaona ni wazalendo sana ni hawa wanajeshi wetu. Mimi ningekuwa ninauewezo kikatiba wallahi ningewatumia hawa jamaa kwenye sector nying na ninauhakika wange 'deliver the goods'
   
 18. Lastname

  Lastname JF-Expert Member

  #18
  Aug 22, 2012
  Joined: Feb 23, 2012
  Messages: 925
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Mbona wanajeshi wameshawahi kusend message mara mbili? wenyewe hawana migomo ila wanalipua mabomu, mbagala na gongolamboto
   
 19. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #19
  Aug 22, 2012
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,223
  Likes Received: 1,412
  Trophy Points: 280
  bado sijaona facts za impact ukifananisha na sectors nyingine, nipe facts, kupindua serikali?!, mbado.
   
 20. MTAZAMO

  MTAZAMO JF-Expert Member

  #20
  Aug 22, 2012
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 12,532
  Likes Received: 5,681
  Trophy Points: 280
  Aaah! hizo mbona maticha wameshazoea! sema kashata na Jojo zinawatoa kimtindo! Wajeda sijui watatuuzia nini sasa tuwaungishe nao!
   
Loading...