Kwanini Kutema mate baada ya haja ndogo? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwanini Kutema mate baada ya haja ndogo?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Whisper, Aug 24, 2012.

 1. Whisper

  Whisper JF-Expert Member

  #1
  Aug 24, 2012
  Joined: Jun 2, 2009
  Messages: 502
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Kwa muda mrefu sasa nimeona watu wengi kila baada ya kumaliza haja ndogo hutema mate kwenye mkojo wake. Hii hutokea mara nyingi kwenye public toilets (kwa sisi wanaume), porini (saa ya kuchimba dawa safarini) hata pembezoni mwa kuta.

  Hivi nini chanzo cha hii tabia?
   
 2. S

  Sometimes JF-Expert Member

  #2
  Aug 24, 2012
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 4,567
  Likes Received: 360
  Trophy Points: 180
  Sina uhakika na utafiti wako! Hapa ofisini kwetu kuna vyoo ambavyo vinatumiwa na watumishi lakini sijaona wakitema mate! Sana sana, tabia hiyo ninaiona kwenye vyoo vya kwenye bar/klabu za pombe ambavyo vina harufu kali kutokana na kutotunzwa vizuri!
   
 3. M

  Mfwalamanyambi JF-Expert Member

  #3
  Aug 24, 2012
  Joined: Dec 18, 2010
  Messages: 434
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Walevi ndo wenye tabia hiyo, kwani wakiingia tutoilet mate yameshajaa mdomoni.
   
Loading...