Serikali na machinga... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Serikali na machinga...

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by hussenly18, Aug 25, 2012.

 1. h

  hussenly18 New Member

  #1
  Aug 25, 2012
  Joined: Aug 23, 2012
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  serikali ya tanzania inapotoa kauli huwa ni nguvu ya soda,mfano maeneo ya ubungo wafanyabiashara wadogowadogo wamerudi kufanya biashara maeneo ambayo yalikatazwa kufanyia biashara..
   
 2. tatanyengo

  tatanyengo JF-Expert Member

  #2
  Aug 25, 2012
  Joined: Mar 30, 2011
  Messages: 1,140
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Join Date : 23rd August 2012
  Posts : 1
  Rep Power : 0
  Likes Received0
  Likes Given0

  Karibu sana kwenye mtandao wa kijamii
   
Loading...