Wajumbe wa nyumba kumi katika SENSA nao WANALALAMIKIA POSHO

pilau

JF-Expert Member
Aug 16, 2012
1,594
447
Nimekuta wajumbe wa nyumba kumi wakijadili kuwa wao hawakuhusishwa na pesa za posho tangu waliposhiriki zoezi la kuandikisha watu kwa ajili ya vitambulisho vya taifa na sasa pia hawaja lipwa kitu chochote katika zoezi la SENSA,
 
si wanamtumikia lucifer na amezoea kunogewa na dhulma wacha waendelee kudhulumiwa na huyo lucifer
 
Back
Top Bottom