haiwezekani habari ya Vurugu morogoro wasiitangaze hata kuigusia kidogo.
Au ndo kufwata maneno ya Rais kwa vyombo vya habari kuacha kuichafua serikali kwa kukuza habari. TBC naifuta rasmii, haina...
Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni,mwaka huu mh:Raisi JK kajitahidi sana kuondoa ile kata kata ovyo ya umeme, baada ya vikosi vyake kuanika hadharani uozo uliopo katika shirika la tanesco na...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
NDUGU WANAHABARI SISI BAADHI YA WAFANYAKAZI WA SUNRISE RADIO ARUSHA KUANZIA LEO TAREHE 22/8/2012 TUMEAMUA KUGOMA KUENDELEA KUFANYA KAZI NA ASPIRE MEDIA COMPANY...
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar kimemtaka Waziri wa Sheria na Katiba wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ), Abubakar Khamis Bakari ajiuzulu, kwa maelezo kuwa ameshindwa kuishauri vizuri...
Hii ndio CV ya Kafumu as of today:
CONTRACTORS REGISTRATION BOARD
NEW BOARD OF DIRECTORS EFFECTIVE FROM 1ST DECEMBER 2006
Eng. Consolata Ngimbwa - Chairperson
Eng. Consolata Ngimbwa, the...
Heshima mbele,
Habari wadau, mnaweza kuwa mmesahau au hamjaweza kupata habari hizi za Annual engineers day, 2012, lakini kwa kuwa JF ni kila kitu nimeonelea niwakumbushe.
The Engineers...
Heshima kwenu waungwana, nataka kufaham kuhusu matumizi ya CNG kwenye magari kama kuna mtu amekwisha install kwenye gari yake au kama kuna mtaalam hapa. Kwanza ni gharama za kufunga hii system...
vijana wengi wa kibongo wanatanua sana,wanakunywa bia na kukuza vitambi tu,huku wakisahau kuwa wnajenga ghorofa tumboni basdala ya kununua viwanja na kujenga,mtajiju baadaye masharobaro nyie!
Kesho kwenye mkutano wa chadema Reading moja ya mtukio makubwa ni mchango wa Chadema UK.
Ili kuonyesha kuwa wao sio kama magamba tayari wameisha nunua Ambulance ambazo zitapelekwa Tanzania kama...
Kipindi cha Dira ya dunia BBC-Swahili kimeanza kurushwa jana kupitia Star Tv kuanzia saa tatu usiku kila siku Jumatatu hadi Ijumaa. Full coverage ya matukio mbali mbali yanayotokea duniani...
Tanzanite sparks fresh hostilities
By Correspondent
28th August 2012
Several small miners injured
Gunfire erupted some 465 metres below ground level at the Tanzanite mine...
wana jf tusaidieni namba ya cm ya mheshimiwa Mwakyembe atusaidie cc abiria hapa mwz tumekwama kuondoka tangu asubuhi kuelekea DAR na hakieleweki. naona jamaa wanatujibu wanavyotaka.
MKURUGENZI Mtendaji wa Global Publishers Ltd, Bw. Eric Shigongo, anasikitika kutangaza kifo cha baba yake mzazi na Mwenyekiti wa Global Publishers Ltd, Mzee James Bukumbi, kilichotokea usiku wa...
Jamani habari za saa hii? Jamani kuna tetesi zina sema kuwa upulizaji wa tarumbeta husababisha mabusha, je nikweli?
Kama ni kweli nawasikitikia hawa jamaa wa vikundi vya matarumbeta maana mbeleni...
Ndugu wanaJF napenda kufahamu kwa nini taasisi ya Agakhan inapewa misamaha ya kodi hapa nchini kwetu. Nina uliza kwa sababu huduma za Agakhan mfano hospital za Agakhan ni ghali kuliko hospitali...
Madereva wa Magari ya abiria Bukoba wameanza mgomo leo kupinga unyanyaswaji na ushuru holela wanaotozwa kuingia na kutoka stand. Mpaka sasa, hakuna gari lolote lililoingia stand kupakia au kupakua...
Tue, Aug 28th, 2012
Tanzania |
At last, the government has started its quest to develop a liquefied natural-gas export project in the form of liquefied natural gas (LNG) export facility...
Wadau samahani kwa usumbufu .nimetuma pesa kupitia tigo pesa kwa no ambayo siyo mlengwa nikipiga huduma wananiambia fb,twitter nini sijuwi.nifanyaje no yenyewe ni 0714933133
Umenipita speed kali mida hii ukieleka uwanja wa ndege ukiwa na msafara wa magari mengi. Roho imeniuma sana kwa jinsi unavyo teketeza kodi zetu sisi walala hoi.
Safari zako siziunga mkono labda...
Katika kupita pita nchi hii, nimepita stendi ya Mkoa wa Mororogoro, ambayo kwa maoni yangu, ndio stendi yenye wafanyakazi pamoja na wachuuzi wachafu kupindukia. Uchafu wa wakazi unadhihirisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.