Mipaka ziwa Victoria, ziwa Tanganyika | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mipaka ziwa Victoria, ziwa Tanganyika

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kifarutz, Aug 26, 2012.

 1. K

  Kifarutz JF-Expert Member

  #1
  Aug 26, 2012
  Joined: Aug 7, 2012
  Messages: 1,683
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Wana JF kwa kuzingatia yanayojiri kuhusu mipaka ya ziwa Nyasa kwamba wao wanadai kumiliki 100% ya ziwa naomba kwa wale wenye taarifa watupatie mipaka ya ziwa Tanganyika/Victoria. Katika maziwa hayo mipaka ipo wapi au tunamiliki wa % ngapi na hiyo mipaka iliwekwa kwenye mikataba ipi? Isijekuwa tunadanganyika na elimu ya geographia kuwa maziwa haya yapo Tanzania maana hata ziwa nyasa tulifundishwa lipo Tanzania kumbe ni ziwa la mgogoro tokea enzi ya Mwalimu.
   
 2. t

  tenende JF-Expert Member

  #2
  Aug 26, 2012
  Joined: Jan 10, 2012
  Messages: 6,560
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Na mimi ni mgeni!....
   
 3. Power G

  Power G JF-Expert Member

  #3
  Aug 26, 2012
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 3,889
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Kama tunavua samaki, tunakunywa maji na kuyatumia hayo maziwa kwa usafiri, wasiwasi wako ni nini?????
   
 4. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #4
  Aug 26, 2012
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 17,333
  Likes Received: 3,595
  Trophy Points: 280
  Hayo maziwa yakifikia mwisho kule kingoni kwa nchi zingine ndipo mpaka ulipo,

  They are all belong to Tanzania 100%

  (Hutaniwi??!!)
   
Loading...