Mtazamo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mtazamo

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by chaka bovu, Aug 26, 2012.

 1. c

  chaka bovu Member

  #1
  Aug 26, 2012
  Joined: Aug 7, 2012
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  sioni sababu ya chadema na ccm kulumbana kila siku. Malumbano yatakwenda mwisho wa siku kila mtu unyamaza.wanasiasa watanzania tatizo maneno mengi vitendo vichache. ila itafika kipindi watanzania wataelewa kinachoendele katika siasa yetu ambayo ya maneno mengi vitendo vichache. AMKA NA UITETEE NCHI YAKO KWA WATANZANIA WOTE SIJO CCM AU CHADEMA.
   
 2. t

  thatha JF-Expert Member

  #2
  Aug 26, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  Hivi tanzania kuna wanasiasa au wanafiki?
   
 3. Daffi

  Daffi JF-Expert Member

  #3
  Aug 26, 2012
  Joined: Jun 25, 2011
  Messages: 3,803
  Likes Received: 178
  Trophy Points: 160
  Sasa utatetea vp nchi yako bila chama makini cha siasa?Malumbano ni kawaida katika siasa,cha muhimu wapi usimame na kupitia viongozi gani na chama kipi ili uweze tetea nchi yako.Chadema ndo chama na njia ya kufika nchi ya ahadi.
   
Loading...