kwanini waajiri wanategemea G.P.A Kuajiri? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kwanini waajiri wanategemea G.P.A Kuajiri?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by ndevu mzazi, Aug 26, 2012.

 1. ndevu mzazi

  ndevu mzazi JF-Expert Member

  #1
  Aug 26, 2012
  Joined: Nov 6, 2011
  Messages: 688
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 45
  huku wakijua kwamba wengi wanasoma vyuo tofauti,mitihani tofauti,uwezo tofauti,maisha tofauti na vitu vingi sana haviendani?
   
 2. Kijakazi

  Kijakazi JF-Expert Member

  #2
  Aug 26, 2012
  Joined: Jun 26, 2007
  Messages: 3,546
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 135
  Kwani mtihani maana yake nini? Kaa kwanza utafakari kidogo maana halisi ya mtihani ukipata jibu nafikiri utakuwa pia umepata jibu la kwa nini pia ni muhimu kujua marks za mtu!

   
 3. ndevu mzazi

  ndevu mzazi JF-Expert Member

  #3
  Aug 26, 2012
  Joined: Nov 6, 2011
  Messages: 688
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 45
  mkuu mitihani inaibiwa,mitihani inavuja,watu wanagezea,vyuo havifanani ugumu,maisha tunayotoka hayafanani nk.
  kama mtategemea vyuo vyetu vya kibongo upate watu mtachemka sana.
  kuna watu o level div 4,
  a level div 4
  akasoma cheti
  mara advance diploma na upper second
  vitu vipo na mimi shaidi
  watu uwezo mdogo,reasoning mbovuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu.hatari hii na sio ajali bali ni mfumo mbovu wa elimu na malengo ya msomaji.
   
 4. i

  ilonga JF-Expert Member

  #4
  Aug 26, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 819
  Likes Received: 140
  Trophy Points: 60
  Kama mwajiri yupo serious atafanya interview iliyo serious hata hapo kwa hao wenye GPA kubwa utaona tofauti,kuna waliopata GPA kubwa kwa kuwa na uwezo mzr wa kukariri,linapokuja suala la kujieleza (oral inyerview) utaona tofauti kubwa.
   
 5. M

  Moony JF-Expert Member

  #5
  Aug 26, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 1,593
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Inferiority complex
   
 6. Kijakazi

  Kijakazi JF-Expert Member

  #6
  Aug 26, 2012
  Joined: Jun 26, 2007
  Messages: 3,546
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 135
  Hayo yote unayosema ni sawa na yanajulikana sema bahati mbaya hakuna njia nyingine ya kuweza kumtathimini mtu kama humjui, mfano una kampuni unataka kuajiri wahandisi, unatangaza kazi wanaomba watu wengi huwajui kibinafsi kwa hiyo njia pekee na ya kwanza ya kuanza kuwajua ni hiyo, unataka ujue kama alisomea uhandisi na alifauluje, sasa baada ya hapo ndio yanaanza mambo mengine na wengine wanakwenda mbali zaidi kuwakutanisha waombaji wote na kuwapa mtihani kutest kile ambacho wewe mwajiri unakitegemea kutoka kwa mfanyakazi unayemtaka!

  Ndivyo ilivyo bahati mbaya sana bado hatujapata njia nyingine ambayo ni bora zaidi, hata kwenye dini kama wewe mkristu huwa kuna mafundisho ambayo ukimaliza kuna mtihani ni baada tu ya kuafulu mtihani ndipo unapata kipaimara au sijui komunio, na si vinginevyo najua labda sio fair lakini hamna njia mbadala ambayo ni bora mpaka sasa!
   
Loading...