Rushwa kwenye sensa

rosemarie

JF-Expert Member
Mar 22, 2011
6,887
3,412
kuna taarifa tumepata makarani wa sensa wanadai rushwa ili uhesabiwe'jamani rushwa mpaka kwenye sensa tutafika?

Tunaomba serikali ya ccm imulike hilo na kuchuka hatua
 
Mbona haiingi akilini? Hebu eliza vizuri.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Hayo mie hayajanikuta maana ningepata sababu..ila wana maswali yao yanaboa kweli kweli like Umeshatahiriwa?
 
Back
Top Bottom