Gharama za Sensa!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Gharama za Sensa!!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Elisha Ray, Aug 26, 2012.

 1. Elisha Ray

  Elisha Ray JF-Expert Member

  #1
  Aug 26, 2012
  Joined: Mar 19, 2012
  Messages: 302
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Wakuu, leo nimesikia news ambazo zimenipa kichefuchefu kwa kweli na kama ni za kweli basi hii nchi imejaa watu wezi na wanaiba kuliko tujuavyo huko serikalini. Kuna wahasibu wawili ndugu zangu wanaofanya kazi serikalini ambao walishiriki kutengeneza bajeti ya sensa na wameniambia kuwa malipo (posho) ya wale wanaotumika kufanya kazi ya kuhesabu watu ni shs 3,500,000/- kwa mtu mmoja kama posho yao mpaka wakimaliza ambayo ni sawa na 500,000/ kwa siku. Sasa ninachojua mimi ni kuwa kuna wanaolipwa 50,000/- na wengine 35,000/- kwa siku na hawa wahasibu walinipa bajeti kwa nyakati tofauti na wakashangaa nilipowaambia malipo ya hawa jamaa wanayolipwa kwa siku kuwa sio ilivyo kwenye bajeti. Kuna anaejua kama hii ni kweli wadau mnaojua hili maana ni WIZI MTUPU kila kona katika serikali hii ya ba nanihii......
   
Loading...