Sheikh Ponda na wenzake wasisitiza waislam kugomea sensa! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sheikh Ponda na wenzake wasisitiza waislam kugomea sensa!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mkigoma, Aug 16, 2012.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. m

  mkigoma JF-Expert Member

  #1
  Aug 16, 2012
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 1,182
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  kiongozi mwenye msimamo anayesikilizwa na waislam wengi Tanzania sheikh Ponda issa Ponda amesisitiza msimamo wa waislam upo pale pale hatutashiriki sensa. source Taarifa ya habari Chanel ten.
   
 2. only83

  only83 JF-Expert Member

  #2
  Aug 16, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Ngoja tuone hii movie itamalizika vp.
   
 3. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #3
  Aug 16, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,747
  Likes Received: 12,841
  Trophy Points: 280
  Hana lolote huyo ponda sijui mponda mali ataswekwa rumande tu!
   
 4. M

  Molemo JF-Expert Member

  #4
  Aug 16, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Wenye akili wote wanaunga mkono sensa..
   
 5. a

  adolay JF-Expert Member

  #5
  Aug 16, 2012
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 7,595
  Likes Received: 3,074
  Trophy Points: 280
  Ni matatizo ya kuchanganya mambo kwa kusingizia na kudai ni haki kwa wlango wambele lakin kwa mlango wa nyuma likibeba agenda za siri, na aliepanda mbegu hii ametulia magogon kimya bila shaka akifurahia kumea kwa mbegu yake alopanda yaan udin.

  Chukua mfano mdogo wa wakatoliki

  Kuanzia ngazi ya taifa, mkoa mpaka kila kijiji vitongoji na mitaa wanafaham idadi ya waumin wao

  RC Wanatambuwa idadi sahihi ya wazee, vijana, watoto na wasiojiweza kwa waumin wake wote.

  Wanafaham vema idadi yao kupitia makanisa na jumuiya zao ambako sensa zao hufanyika natakwim kujengwa kuanzia vigango, parokia, jimbo na hatimae taifa.

  Yote hayo kanisa katoliki linafanya bila kuishilikisha serikali wala kutumia mgongo wa serikali kwa maana yoyote ile.

  Ponda na kundi lake wanaweza kuhesabu waumini wao misikitin na kupata takwim kwa uhakika na ufanisi mkubwa.

  Ikumbukwe kwamba takwim kwa maana ya iman yoyote ni jukum la wenyeiman yao kuifanya kulingana na mahitajio kwa maana ya matumizi katika iman au din husika
   
 6. gulio

  gulio JF-Expert Member

  #6
  Aug 16, 2012
  Joined: Apr 29, 2012
  Messages: 287
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  anatafuta umaarufu tu atawaruka kimanga dakika zikifika-
   
 7. JJB

  JJB JF-Expert Member

  #7
  Aug 16, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 336
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Nina Rafiki yangu ni Muislam anamdharau sana huyu Sheikh. Kwani ye kama anataka kugoma si agome peke yake na familiya yake? Au anadhani kugoma ni sifa? Kweli elimu ni msaada mkubwa kwa binadamu.
   
 8. Endeleaaa

  Endeleaaa JF-Expert Member

  #8
  Aug 16, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 1,229
  Likes Received: 320
  Trophy Points: 180
  Mbona kipengele chenyewe tayari kipo! hivi kwa majina tu si unaweza kutofautisha hawa ni wa Dini flani na wale ni wa Dini flani?

  Au kwanini kushindana nao Sensa waweke hicho kibox cha kutambua Dini ila kiwe ni optional kujaza, kwa maana hiyo wakati wa reporting kitakuwa hakizingatiwi, kwisha.
   
 9. Osaka

  Osaka JF-Expert Member

  #9
  Aug 16, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 1,766
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Kwa hiyo Ponda hana brain?
   
 10. Bavaria

  Bavaria JF-Expert Member

  #10
  Aug 16, 2012
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 44,100
  Likes Received: 11,251
  Trophy Points: 280
  na mabichwa nazi mengne yanafuata
   
 11. fugees

  fugees JF-Expert Member

  #11
  Aug 16, 2012
  Joined: Aug 13, 2012
  Messages: 2,587
  Likes Received: 390
  Trophy Points: 180
  watamkuta mabwdpande mwacha adekeze af yy alijataa walimu kugoma et kuna mkono wa chadema je HU MGOMO WA SENSA KUNA MKONA WA CHADEMA?
   
 12. Tango73

  Tango73 JF-Expert Member

  #12
  Aug 16, 2012
  Joined: Dec 14, 2008
  Messages: 1,678
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 135
  Huyu Jamaa anatumiwa na IRAN kugombanisha waislamu na wakristo hapa tanzania. maneno ya kususia sensa ya kitaifa hayajatoka kinywani mwake bali kwa serikali ya IRAN ambayo inataka kujua idadi kamili ya waislamu wa tanzania halafu waifanye nchi yetu kama walivyoifanya Nigeria kule Kano na kaskazini yote. Lazima ujue wazi kuwa, marekani na China zinaijenga africa lakini IRANI kwa kupitia urafiki wa kidini, inaibomoa Africa.
   
 13. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #13
  Aug 16, 2012
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,124
  Likes Received: 1,709
  Trophy Points: 280
  Wanamlea sana huyo bwana, kama ingekuwa ni wakati wa Mwalimu au wakati wa Mkapa, bila shaka kwasasa angekuwa ni historia!!!!
   
 14. AdvocateFi

  AdvocateFi JF-Expert Member

  #14
  Aug 16, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 10,705
  Likes Received: 592
  Trophy Points: 280
  Dini ya mwarabu ni janga kwa taifa.
   
 15. a

  adolay JF-Expert Member

  #15
  Aug 16, 2012
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 7,595
  Likes Received: 3,074
  Trophy Points: 280

  Kunamkono wa ccm!!
  No...may be?
   
 16. Rogate

  Rogate JF-Expert Member

  #16
  Aug 16, 2012
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 215
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  thats could be true. Nimekua nikijiuliza hawa watu wanatoa wapi ujasiri wakufanya hizi fujo!
   
 17. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #17
  Aug 16, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,523
  Likes Received: 1,702
  Trophy Points: 280
  Utaambiwa unaendeleza ukatoliki...
   
 18. a

  adolay JF-Expert Member

  #18
  Aug 16, 2012
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 7,595
  Likes Received: 3,074
  Trophy Points: 280

  Umeteguwa kitendawili na mwenye macho haambiwi tazama.

  Usimsahau mzee wa magogo ni mwanachama mkubwa wa Iran na mkazo unasistizwa na matumizi ya bendera yetu kweye meli kuuza mafuta ya Iran. Boko haram wako mlangon kama sio alshabab, choko choko zote inatafutwa sabab na kisingizio kuanzisha balaa time will tell.
   
 19. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #19
  Aug 16, 2012
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,124
  Likes Received: 1,709
  Trophy Points: 280
  Waache waseme tu mkuu ila the two guys were no nonsense fellows!
   
 20. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #20
  Aug 16, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,523
  Likes Received: 1,702
  Trophy Points: 280
  Tumaini University wameongeza Chuo Kikuu Bukoba kinaitwa Joshua Kibira. Vyuo vingine vimeanza kujengwa Singida na Mbeya. Tuacheni sisi tunaolilia Kadhi na kugomea sensa nyie imarisheni watu wenu kielimu
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...