Kiongozi wa makarani wa sensa ashughulikiwa

baluhya M.

Member
Apr 22, 2011
33
79
Nimepata habari za kuaminika kutoka kwa rafiki yangu ambaye naye ni karani wa sensa hapa DSM kuwa yule kiongozi wao aliyeonekana kupitia tv mbalimbali(kijana mnene mweupe hv) akisisitiza serikali kuwalipa pesa yao yote ya semina ya siku saba jina lake limekatwa,na sasa hajapangiwa kituo na hajaripwa posho ya ukarani wa sensa.

mytake:Hawa makarani wanapaswa kutanguliza utaifa mbele na sio maslahi yao,wakumbuke walimu na madaktari n.k wote wako kazini kwa kutanguliza uzalendo
 
Acheni naye ahisi ile pinch ya victimisation,after all hakulazimishwa kuomba ukarani
 
Hapa ndipo tunapotofautiana. Kazi nyingine tunaambiwa tutangulize utaifa mbele, wakati wengine wanatakiwa watangulize maslahi mbele.

Juzi wabunge wamapewa 1Milioni kila mmoja kwa ajili ya kuhamasisha sensa, wakati ambapo wabunge haohao hadi sasa tangu wamalize kikao cha bunge, wamebana huko mijini, na huku majimboni hawajafika.

Hiyo milioni waliyopewa haijafanyiwa kazi, na wala haitarejeshwa. wakati huohuo, karani analazimishwa aende kituoni bila kulipwa, eti atangulize utaifa, akale nini huko?, akalale wapi????, akafanye nini? Hivi utaifa ni kutesana?

Tunaambiwa eti Ualimu ni kazi ya wito, Udaktari ni kazi ya wito, je! ubunge si kazi ya wito? Tuache siasa, tufanye kazi.
 
Acheni naye ahisi ile pinch ya victimisation,after all hakulazimishwa kuomba ukarani
Hayo ndiyo mapigo ya serikali dhaifu inayoongozwa na chama dhaifu. Kazi yake kubwa ni kukomoa na kulipa visasi.
 
nimepata habari za kuaminika kutoka kwa rafiki yangu ambaye naye ni karani wa sensa hapa dsm kuwa yule kiongozi wao aliyeonekana kupitia tv mbalimbali(kijana mnene mweupe hv) akisisitiza serikali kuwalipa pesa yao yote ya semina ya siku saba jina lake limekatwa,na sasa hajapangiwa kituo na hajaripwa posho ya ukarani wa sensa.

Mytake:hawa makarani wanapaswa kutanguliza utaifa mbele na sio maslahi yao,wakumbuke walimu na madaktari n.k wote wako kazini kwa kutanguliza uzalendo

wewe reporta gamba, au cdm mwenye mawazo mgando. Yani hujaona kua huyo karani kaonewa! Basi ndugu yangu.
 
Kwa yeyote anayeshabikia hili hakika kuna wakati yatamfika na takuwa pekee hakuna wa kumsaidia wala kumfariji!

Sioni kosa lake kwani alikuwa anadai haki yake ilo halali yake keshapata ukarani serikali au tume/idara ya takwimu iliwajibika si kumlipa pekee bali kumlipa kwa wakati wala asinge lalamika.
 
Hapa ndipo tunapotofautiana. Kazi nyingine tunaambiwa tutangulize utaifa mbele, wakati wengine wanatakiwa watangulize maslahi mbele. Juzi wabunge wamapewa 1Milioni kila mmoja kwa ajili ya kuhamasisha sensa, wakati ambapo wabunge haohao hadi sasa tangu wamalize kikao cha bunge, wamebana huko mijini, na huku majimboni hawajafika. Hiyo milioni waliyopewa haijafanyiwa kazi, na wala haitarejeshwa. wakati huohuo, karani analazimishwa aende kituoni bila kulipwa, eti atangulize utaifa, akale nini huko????, akalale wapi????, akafanye nini????. Hivi utaifa ni kutesana????
Tunaambiwa eti Ualimu ni kazi ya wito, Udaktari ni kazi ya wito, je! ubunge si kazi ya wito??????? Tuache siasa, tufanye kazi.

na je fungu la sensa halijapitishwa?mbona kila mtanzania, anachangia kama dola 1 hivi na fungu limetoka, kwanini watu wasilipwe?pesa ipo kwann wasilipwe?
 
wewe reporta gamba, au cdm mwenye mawazo mgando. Yani hujaona kua huyo karani kaonewa! Basi ndugu yangu.
nimeona lakini huo si ndio mtindo wa kutawala unaotumika,hata madaktari na walimu leo wako kazini kwa kutanguliza uzalendo,na mimi nimeandika hvyo kuunga mkono dhana hiyo inayotamba kwa sasa hapa TZ
 
Serikali dhaifu hiyo ndiyo silaha yao! Nilipo muona huyu kijana nilijua lazima wangemfanya hivi kwani wana mwabepande kwao ukweli ni uongo!
 
nimeona lakini huo si ndio mtindo wa kutawala unaotumika,hata madaktari na walimu leo wako kazini kwa kutanguliza uzalendo,na mimi nimeandika hvyo kuunga mkono dhana hiyo inayotamba kwa sasa hapa TZ

Anaona mkuu unafurahi kuona serikali inaendelelea kutesa Raia wake wanaodai haki,nadhani moyoni unafurahi make ninavyokufahamu najua unajua serikali inazidi kujiua yenyewe,hususani kwa kuzidi kuandaa maadui wake yenyewe.....
 
Wamechakachuliwa pesa za nauli za semina siku 11,pesa za kwenda vituoni kabla ya siku ya sensa.pia mratibu ameeleza kukosekana kwa mavazi. Maalumu ya sensa.
 
Sehemu nyingi mpaka muda huu hawajapewa vifaa kama kofia, fulana, penseli, peni nk.

Vitambulisho walivyopewa havina picha ya muhusika, jina na sahihi, havina sahihi ya mwajiri wao, huu utaratibu gani? Ina maana mtu akiamua kwenda kwenye kazi zake zingine na kumpa mtu ambaye hajahudhuria mafunzo abandike picha na kuandika jina inakuwa rahisi kiasi hicho?

Mbona hamko makini kiasi hicho? Kwa nini mnataka kuharibu kodi zetu badala ya kufanyia mambo ya muhimu? Hivi imeshindikana kutengeneza vitambulisho vyenye picha scanned,hayo malipo mtamalizia kweli?

Mnashindwa hata na semina za uchochoroni. Huu udhaifu msituletee kwenye mambo ya muhimu ambayo yamegharimu kodi zetu nyingi. Bilion 140 zingenunua vifaa vingi sana vya matibabu ambavyo hospitali zetu nyingi hazina.
 
Hapa ndipo tunapotofautiana. Kazi nyingine tunaambiwa tutangulize utaifa mbele, wakati wengine wanatakiwa watangulize maslahi mbele. Juzi wabunge wamapewa 1Milioni kila mmoja kwa ajili ya kuhamasisha sensa, wakati ambapo wabunge haohao hadi sasa tangu wamalize kikao cha bunge, wamebana huko mijini, na huku majimboni hawajafika. Hiyo milioni waliyopewa haijafanyiwa kazi, na wala haitarejeshwa. wakati huohuo, karani analazimishwa aende kituoni bila kulipwa, eti atangulize utaifa, akale nini huko????, akalale wapi????, akafanye nini????. Hivi utaifa ni kutesana????
Tunaambiwa eti Ualimu ni kazi ya wito, Udaktari ni kazi ya wito, je! ubunge si kazi ya wito??????? Tuache siasa, tufanye kazi.
Utakuwa upande wa M4C kama mm
 
Back
Top Bottom