Masaa Zaidi ya 36 Bila Internet. (tiGO)

Puppy

JF-Expert Member
Oct 6, 2011
2,995
2,494
Habari za asubuhi wanajamvi.

Tokea juzi usiku (jumamosi) saa tano internet connection ya tigo ilipotea kabisa mpaka sasa hivi navyopost (jumatatu 7.35am) bila ya taarifa yoyote ile.

Hili tatizo sio kwangu tu bali kwa watu wengi maeneo ya arusha. Hawapokei simu za wateja.

Fanyeni jitiada ninyi tiGO either mrudishe connection au muwaeleze wateja whats up.
Isije ikawa munatumiwa.
 
Back
Top Bottom