kwa uvumi huu wa zoezi la sensa kuhusishwa na ufremanson halitafanikiwa kwa kiwango kikubwa.! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kwa uvumi huu wa zoezi la sensa kuhusishwa na ufremanson halitafanikiwa kwa kiwango kikubwa.!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by white wizard, Aug 26, 2012.

 1. w

  white wizard JF-Expert Member

  #1
  Aug 26, 2012
  Joined: May 18, 2011
  Messages: 2,462
  Likes Received: 748
  Trophy Points: 280
  kweli tembea uone,huku maeneo ya inyonga wilaya mpya ya mkoa wa katavi,kuna watu wamewa hadaa wananchi kuwa zoezi la sensa ni agizo toka kwa fremanson!na majina yote yanayoorodheshwa yatapelekwa kule,hivyo wao ndio watakuwa wana chagua majina ya kuwatoa kafara kila watakapohitaji!hivyo watu wengi wamekuwa wagumu kujiandikisha!na kibaya zaidi kuna mchungaji anayejiita George,ambaye anadai aliongea na kanumba,juu ya ufremanson wa kanumba sasa hayo masimulizi,ambayo wengi wanayo kwenye simu,ndiyo yana watisha wa2!!na kama unavyojua mtu wa kijijini akishalishwa propaganda na shughuri pevu kumbadilisha.
   
Loading...