Hatari:Regional Immigration Officer Mara amkosa kisu askari wake kisa mapenzi.

matongo manawa

JF-Expert Member
Apr 6, 2011
336
79
Ukistaajabu ya Musa...,Mkuu wa uhamiaji ambaye ni naibu kamishna mkoa wa Mara,
Siku ya ijumaa alizua tafrani ktk ofisi ya mkoa wake baada ya kutoa kisu na bisibisi
kumshambulia askari wake kwa madai kuwa anatangaza kuwa anatembea na Askari wa
kike ktk ofisi hiyo.

Habari za uhakika zinadai kwamba Askari wa kiume alikuwa akimfuatilia binti huyo but akawa anapigwa kalenda dogo akasikia kwa wenzie kwamba mkubwa anapata hifadhi
dogo akamfuata binti na kumweleza,binti akaja juu na kwenda kumweleza mkubwa,
Mkubwa akagiza dogo aitwe huku jicho limemtoka,dogo alipofika mkubwa kamwuliza
wewe ndo unasema natembea na huyu?dogo akajibu siyo mimi,hamadi boss akavuta
droo akatoa kisu na bisibisi akam attack dogo akimwabia kubali vinginevyo na kuua,
Ikabidi maafisa waliokuwepo pamoja na naibu wake wamzuie bila hao tungekuwa
tunaongea mengine.

Dogo ikabidi akimbilie polis ambako alipewa RB,lkn swala lenyewe linataka kupelekwa kishikaji ili dogo aonekane ana makosa siunajua tena govt hii ya kulindana!

Ikumbukwe kuwa wakati wa bajeti waziri kivuli mambo ya ndani,alihoji na kutaka majibu ya serikali juu ya vigezo vilivyotumika kuwapandisha vyeo takribani
maofisa 216 kuwa manaibu kamishina huku wengi wao elimu zao zikiwa ni form 4,
Afisa uhamiaji (RIO) Mara atakuwa mmoja wa vilaza hao,mana haiwezekani mtu mwenye madaraka makubwa km hayo akashindwa kujua maadili ya kazi
halafu kuattempt murder ndani ya ofisi inatosha kusimamishwa kazi km si kufukuzwa.

Lakini si ajabu dogo akapewa uhamisho hatutashangaa kwa serikali hii.
 
usiku mzima unalewa, asubuhi unaamkia kuvuta bange, ukitoka kwenye bange moja kwa moja kwenye keyboard
 
Unamaanisha nini mkuu,nimefanya kosa kuleta taarifa hii?Isije ikawa wewe ndo umevuta bangi na unaisoma habari hii na kuielewa kibangi bangi.
 
Ukistaajabu ya Musa...,Mkuu wa uhamiaji ambaye ni naibu kamishna mkoa wa Mara,
Siku ya ijumaa alizua tafrani ktk ofisi ya mkoa wake baada ya kutoa kisu na bisibisi
kumshambulia askari wake kwa madai kuwa anatangaza kuwa anatembea na Askari wa
kike ktk ofisi hiyo.

Habari za uhakika zinadai kwamba Askari wa kiume alikuwa akimfuatilia binti huyo but akawa anapigwa kalenda dogo akasikia kwa wenzie kwamba mkubwa anapata hifadhi
dogo akamfuata binti na kumweleza,binti akaja juu na kwenda kumweleza mkubwa,
Mkubwa akagiza dogo aitwe huku jicho limemtoka,dogo alipofika mkubwa kamwuliza
wewe ndo unasema natembea na huyu?dogo akajibu siyo mimi,hamadi boss akavuta
droo akatoa kisu na bisibisi akam attack dogo akimwabia kubali vinginevyo na kuua,
Ikabidi maafisa waliokuwepo pamoja na naibu wake wamzuie bila hao tungekuwa
tunaongea mengine.

Dogo ikabidi akimbilie polis ambako alipewa RB,lkn swala lenyewe linataka kupelekwa kishikaji ili dogo aonekane ana makosa siunajua tena govt hii ya kulindana!

Ikumbukwe kuwa wakati wa bajeti waziri kivuli mambo ya ndani,alihoji na kutaka majibu ya serikali juu ya vigezo vilivyotumika kuwapandisha vyeo takribani
maofisa 216 kuwa manaibu kamishina huku wengi wao elimu zao zikiwa ni form 4,
Afisa uhamiaji (RIO) Mara atakuwa mmoja wa vilaza hao,mana haiwezekani mtu mwenye madaraka makubwa km hayo akashindwa kujua maadili ya kazi
halafu kuattempt murder ndani ya ofisi inatosha kusimamishwa kazi km si kufukuzwa.

Lakini si ajabu dogo akapewa uhamisho hatutashangaa kwa serikali hii.

Nakushukuru sana kwa taarifa mkuu ngoja system iingie kazini kitaeleweka tu!
 
Mkuu Elimu haimfanyi kuwa na hekima na busara.. Hulka ya ya mtu haibadilishwi na kusoma.. Huyo lazima atakuwa anatokea maeneo ya mkoa huo huo.. Hata angeenda mpaka Havard or Yale University bado angekuwa hivyo alivyokuwa..

Sent from Kandahar..
 
Back
Top Bottom