kwanini wajumbe wa nyumba 10 wasingetumika ktk sensa??

adakiss23

JF-Expert Member
Jan 23, 2011
4,477
4,270
Nahisi ni ubadhilifu 2 wa fedha za umma. Kwanini hawa wajumbe wa nyumba 10 kushirikiana na serikali za mitaa kufanya kazi ya sensa kwa kuwa wako karibu zaidi na wananchi wa mtaa wao zaidi kuliko kupoteza mamilioni ya kodi.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Wajumbe wa nyumba kumi ni wa CCM siyo ngazi ya serukali ndugu yangu. Uendeshaji wa Sensa ni wajibu wa serikali siyo wa Chama. Hata CDM nao wameanzisha mfumo wa nyumba 10. Sasa ni nyumba kumi zipi zingetumika katika Sensa? Jielimishe kwanza.
 
Back
Top Bottom