Kipindi fulani nyuma, serikali ilizindua www.wananchi.go.tz ili Watanzania wapate kuwakilisha kero zao kwa idara kadhaa za serikali moja kwa moja na kupatiwa majibu.
Mwaka jana mwanzoni...
Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP),Said Mwema akimfariji mmoja wa majeruhi walioumia wakati polisi wakiwadhibiti wafuasi wa Chadema wiki iliyopita.Mwandishi wa Habari wa kituo cha Televisheni cha...
Asubuhi hapa kijijini kulikuwa na msiba,askari wakafika msibani na kuwataka wananyololo kufanya mazishi mapema ili kuepukana na dhahama au vurugu. Baada ya mazishi watu wote wakaambiwa...
Kaskazini, mashariki na kusini kuzunguka nje ya uzio wa Ikulu kuna idadi kubwa ya Askari FFU na vifaa vya kazi. Ni idadi kubwa kuliko siku zingine. Upande wa baharini mahali ambapo ni eneo la...
EXCLUSIVE: WAISLAMU WAITIKISA DAR KWA MAANDAMANO, WASWALI MBELE YA JESHI LA POLISI MAKAO MAKUU.
Baada ya mazungumzo ya takribani saa kadhaa, baadhi ya viongozi wa Maandamano hayo walirudi kutoa...
Limefanikiwa shirika la india tata motors kutoa gari aina ya air pod,jambo lililopelekea ufaransa kuekesha oda ya nguvu itakayokabidhiwa mwisho wa 2013,gari hiyo ina uwezo wa kubeba watu watatu,na...
Salaam wana Jf
kufungiwa kwa gazeti la mwanahalisi na kutokuwa na gazeti mbadala ni pengo kubwa imefahamika.
Tanzania tunayo magazeti mengi ya siasa lakini mengi ya hayo magazeti yana nidham...
Salaam,
Nimekutana na andiko la bwana Rajesh Rakani aliloandika yapata miezi mitatu iliyopita juu ya namna ambavyo tunaweza kujifunza kutoka kwenye mchezo wa mpira wa miguu, katika kuboresha...
Wengi wetu tunajua kuna baadhi ya watu wanafungwa kwa makosa ya kubambikiwa kesi na kupandikiziwa vidhibiti vya uongo na polisi, kama bangi, madawa nk. Hilo linajulikana, sula la kesi za...
September 7, 2012 by Jesse Rutahigwa
There is no doubt that Africa is very rich in terms of resources, what is missing is patriotic management of this resources. These have...
Wana JF,
Hivi karibuni katika miji ya Morogoro na Iringa iligeuka uwanja wa mapambano baina ya wafuasi wa Chadema na askari wa jeshi la polisi na kusababisha mauwaji ya raia wawili Ally Nzona...
Kupitia ITV 'Habari za saa' wamesema kwamba wizara ya mambo ya ndani imetoa taarifa kuwa mh Nchimbi aliunda kamati na si Tume ili kuchunguza kadhia ya mkoani Iringa. Habari zaidi watatoa baadaye...
Ni matarajio yangu kuwa wengi wetu tu wazima humu JAMVINI, kwa wote wanaougua nakuuguliwa NAKUTAKIENI kupata nafuu na AFYA kwa haraka. Na KWA WALIOTANGULIA MBELE YA HAKI NINI ZAIDI YA KUWAOMBEA...
Marehemu Daudi Mwangosi akionyesha bahasha yenye malalamiko ya wanahabari dhidi ya ofisi ya mkuu wa mkoa wa Iringa
Daudi Mwangosi (katikati) akiwa na naibu katibu wa IPC Francis...
Jukwaa la katiba limetoa tamko kuhusu tume ya Nchimbi. Tamko likisomwa na mwenyekiti wa jukwaa hilo limesema; "kwanza ile siyo tume ni kamati iliyoundwa na nchimbi, kamati hii haitambuliki...
Kama mtanzania nimekuwa nafuatilia umoja wa waandishi wa habari,pale wanapopata matatizo,
nilichogundua kama siyo waoga basi hamna mshikamano.kuna mwandishi wa habari aliuawa
Mwanza ktk mazingira...
Afisa mwanadamizi wa taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa TAKUKURU katika wilaya ya Ngara mkoani Kagera amejiua kwa kujipiga risasi kidevuni
afisa huyo bw Francis Kitundu amejiua kwa...
Tanzanians are now striving to move to the next stage of total democracy. This is our right but we have to remember it has something to do with "change". Fighting for change is not an easy task...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.